Naomba ushauri wa namna ya kuondoa lamination katika vyeti (Delamination)

bab N

Member
Jul 29, 2016
75
35
Habari wakuu,

Naombeni msaada wa kufahamishwa sehemu ambapo wanaweza kuondoa lamination katika cheti, nimehangaika sana na nahitajika lazima niondoe lamination ili cheti kiweze kuhakikiwa.

Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni cheti au ni hati ? kwanini kuhakiki cheti mpaka kisiwe na lamination ? Taasisi gani hio yenye sheria za ajabu
 
Kuhakikiwa sio lazima kupeleka original. Toa copy na kupeleka kwa mwanasheria akugongee Muir then wapelekee. Mimi vyangu vilinisumbua sana maana nimehamgaika 2yrs. Tuliosoma nje ndo majanga sana bab N,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom