Kama Wabongo wataijua haswa CUF wallah sizani kama kuna hata mmoja atae shabikia ,waulizeni wanyamwezi wenzenu waliko Pemba wakati wa uandikishaji ,washakaa zaidi ya miaka 13 hawapewi haki wanapingwa na CUF lkn wakija waarabu hata kama yule wakala wa CUF hamjui basi ile rangi yake yatosha hata...
Acheni ushabiki wakichaga ,majungu majungu na roho mbaya ,pale mwanamme wenu Mengi hakupewa fursa ya kufanya wizi wake kama alivyofanya NBC hadi leo chali ,ebu kueni wastarabu ndugu zangu wakichaga
Mfumo wa uwazi ,Watanzania hatuutaki na Jk ndio style aliyotumia ,jeh uovu wwengeuonaje bila kuweka uwazi na Uhuru wa vyombo vya habari ,kipindi kilichopita mukigugumia chini chini Huwezi kunyanyua kidole.
Ndo maana nampongeza mhe: Rais suala pr Muhongo kulichukulia umakini wa hali ya juu maana mabepari waliumia kuambiwa ukweli wakitaka waachiwe wakafanye jujalee zao Hongera Jk ,Angalia majungu yao ,wengine tuliumizwa Zanzibar kwa Ufisadi wa Watu tu ,na hatuna hatia Mzee.
Yaani we acha tu , Na hii CCM ya Zanzibar waendelee na wao kulindana tu ,ili tujetuwachoke vurugu litawale ,Wamelifumbia macho suala la ZECO wasione hatujui kama kuna Mawaziri walikula rushwa kwenye Sakata lile na wakaenda kwa staili ya kumtongoja dk Shein na Akina Aboubakar waziri wa sheria...
Jamani wanahabari ,ebu litupieni jicho ZECO pale watu wa Escrow wapo na wengine ni Wabunge na Mkurugenzi wao ni ambaye alikua ni mwana board wa TANESCO hajawajibishwa na ana kashfa nyengine ya Majenereta 32 ,angalieni kwenye riport ya PAC ya Zanzibar ,na Serikali ya umoja wa kitaifa pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.