UVCCM:Katiba ya Z'bar iandikwe upya

UVCCM:Katiba ya Z'bar iandikwe upya

Yaani we acha tu , Na hii CCM ya Zanzibar waendelee na wao kulindana tu ,ili tujetuwachoke vurugu litawale ,Wamelifumbia macho suala la ZECO wasione hatujui kama kuna Mawaziri walikula rushwa kwenye Sakata lile na wakaenda kwa staili ya kumtongoja dk Shein na Akina Aboubakar waziri wa sheria akisema uongo ndani ya Baraza kwa kumlinda mkwewe, jamani msiba ,KINANA POLE KWA KAZI MZITO WANAYOKUTIA HAWA MAFISADI na CCM hawajijui maana CUF yawapiga mumo kwa mumo ,wao wakiumiza watu wao ,walio wengi tunalalamika tendeni haki tusije waadhibu.
 
Back
Top Bottom