Napendekeza tumuongezee Kikwete miaka 5

Napendekeza tumuongezee Kikwete miaka 5

Mkuu jamaa ukimsoma vizuri unaweza kumuelewa. Kwa maoni yangu huyu ni jamaa ni smarter than we think. Unachotakiwa kufanya elewa kinyume cha aliyoandika. That is the message he is sending.
Asante kwa kunielewesha inawezekana mimi ndio nimekurupuka...ngoja nirudie kusoma upya...
 
Katika uongozi wa Jk kafanya yafuatayo,
1. uongozi wake wanawake wajawazito na waliojifungua kulala kitanda kimoja 4 imebaki historia, mahospitali yetu yanatoa huduma nzuri tena za kuvutia na madawa yapo ya kutosha.
2.Kapunguza deni la Taifa kiasi kwamba bado tuna uwezo wa kukopesheka.
3.Rais wetu kashinda angani akitutafutia watanzania tukimuongeza miaka ataenda nchi nyingi na Tanzania itakuwa nchi ya neema kwa misaada.
4.Rais ana uchungu na nchi ndo maana hataki kuwabugudhi wawekezaji hata kama wakituibia kwani kwa kufanya hivyo kutazuia wawekezaji kuja kuwekeza.
5. Rais wetu amesaidia kurejeshwa kwa pesa EPa zilizokuwa zimeibiwa na akatumia ubinadamu kuwasamehe wezi wale.
6.Ajira kwa vijana zimeongezeka ndo maana zikitangazwa ajira watu hawaendi wengi matokeo yake huchukuliwa watoto wa wakubwa na kuwekwa kwenye nafasi zile maana watoto wa walalahoi hupata ajira pindi wamalizapo masomo.
7.Kila kijana achaguliwaye kwenda elimu ya juu hupata mkopo hata wale 23000 waliokuwa wanasemwa ni chuki za wapinzani kuichafua serikali.
8.Kipindi cha utawala wake kila mtanzania amekuwa na maisha bora na hii hudhihirishwa na foleni za magari Dar.
9.Mikataba yote kipindi cha imekuwa ya wazi isiyokuwa na chembe ya ubadhirifu hata kidogo.
10.Ukisikia Escrow hizo ni chuki za watu wenye kutaka vitalu vya gesi kwani pesa zile si umma lakini amemsimamisha Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini ili kuridhisha bunge
Kwa haya mazuri napendekeza tumuongezee miaka 5 ili amalizie viporo vya kazi yake vilivyobaki.

Great thinker.....
 
Kama 5 inashindikana basi tumpe hata nyongeza kidogo. Mbona nyanya/vitunguu/Michele tunaongezwa.
 
Mfumo wa uwazi ,Watanzania hatuutaki na Jk ndio style aliyotumia ,jeh uovu wwengeuonaje bila kuweka uwazi na Uhuru wa vyombo vya habari ,kipindi kilichopita mukigugumia chini chini Huwezi kunyanyua kidole.
 
nimekupata mkuu ila kwa bahati mbaya Katiba hairuhusu
 
Mkuu katiba sio msahafu inaweza kubadilishwa tukamuongezea rais wetu miaka 5 maana kafanya mengi mazuri sana.
 
1. Kipindi chake amefanikiwa kupambana na ujangili hivyo tembo wetu wameongezeka idadi toka aingie madarakani , hivyo tumuongezee muda aweze kufanya uchunguzi wa kusingiziwa ndege ya Rais wa China kusafirisha pembe za ndovu.
2. Kipindi cha utawala wake , Twiga wetu wamepona sana kutoroshwa nje ya Nchi.
3. Kipindi cha utawala wake amefaanikiwa kuwa na list ya wauza unga Ikulu lakini kwa busara zake amekaa kimya ili Nchi isije ikayumba.... na kwa huruma yake ameamua kukaribisha mateja kupiga nao picha Ikulu.
 
Mi sikubalini kwani huyu jamaa ni kituko cha taifa, na akichaguliwa kuongoza tena basi tambua nchi itafirisika zaidi ya hapa ilipofika na tutakuja pata escrow mpya under his curious leadership. Huyu mtu hafai kabisa.
 
Mbongo halisi msome vizuri mleta mada.. nadhani mko pamoja mkuu!
 
Katika uongozi wa Jk kafanya yafuatayo,
1. uongozi wake wanawake wajawazito na waliojifungua kulala kitanda kimoja 4 imebaki historia, mahospitali yetu yanatoa huduma nzuri tena za kuvutia na madawa yapo ya kutosha.
2.Kapunguza deni la Taifa kiasi kwamba bado tuna uwezo wa kukopesheka.
3.Rais wetu kashinda angani akitutafutia watanzania tukimuongeza miaka ataenda nchi nyingi na Tanzania itakuwa nchi ya neema kwa misaada.
4.Rais ana uchungu na nchi ndo maana hataki kuwabugudhi wawekezaji hata kama wakituibia kwani kwa kufanya hivyo kutazuia wawekezaji kuja kuwekeza.
5. Rais wetu amesaidia kurejeshwa kwa pesa EPa zilizokuwa zimeibiwa na akatumia ubinadamu kuwasamehe wezi wale.
6.Ajira kwa vijana zimeongezeka ndo maana zikitangazwa ajira watu hawaendi wengi matokeo yake huchukuliwa watoto wa wakubwa na kuwekwa kwenye nafasi zile maana watoto wa walalahoi hupata ajira pindi wamalizapo masomo.
7.Kila kijana achaguliwaye kwenda elimu ya juu hupata mkopo hata wale 23000 waliokuwa wanasemwa ni chuki za wapinzani kuichafua serikali.
8.Kipindi cha utawala wake kila mtanzania amekuwa na maisha bora na hii hudhihirishwa na foleni za magari Dar.
9.Mikataba yote kipindi cha imekuwa ya wazi isiyokuwa na chembe ya ubadhirifu hata kidogo.
10.Ukisikia Escrow hizo ni chuki za watu wenye kutaka vitalu vya gesi kwani pesa zile si umma lakini amemsimamisha Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini ili kuridhisha bunge
Kwa haya mazuri napendekeza tumuongezee miaka 5 ili amalizie viporo vya kazi yake vilivyobaki.

Nice political satire!!! lakini nchi yetu haiwezi kuhimili miaka mingine mitano ya Usanii huu uliokubuhu na kulea ufisadi, rushwa, wizi, ujangili na ukatili Wa dola
 
Katika uongozi wa Jk kafanya yafuatayo,
1. uongozi wake wanawake wajawazito na waliojifungua kulala kitanda kimoja 4 imebaki historia, mahospitali yetu yanatoa huduma nzuri tena za kuvutia na madawa yapo ya kutosha.
2.Kapunguza deni la Taifa kiasi kwamba bado tuna uwezo wa kukopesheka.
3.Rais wetu kashinda angani akitutafutia watanzania tukimuongeza miaka ataenda nchi nyingi na Tanzania itakuwa nchi ya neema kwa misaada.
4.Rais ana uchungu na nchi ndo maana hataki kuwabugudhi wawekezaji hata kama wakituibia kwani kwa kufanya hivyo kutazuia wawekezaji kuja kuwekeza.
5. Rais wetu amesaidia kurejeshwa kwa pesa EPa zilizokuwa zimeibiwa na akatumia ubinadamu kuwasamehe wezi wale.
6.Ajira kwa vijana zimeongezeka ndo maana zikitangazwa ajira watu hawaendi wengi matokeo yake huchukuliwa watoto wa wakubwa na kuwekwa kwenye nafasi zile maana watoto wa walalahoi hupata ajira pindi wamalizapo masomo.
7.Kila kijana achaguliwaye kwenda elimu ya juu hupata mkopo hata wale 23000 waliokuwa wanasemwa ni chuki za wapinzani kuichafua serikali.
8.Kipindi cha utawala wake kila mtanzania amekuwa na maisha bora na hii hudhihirishwa na foleni za magari Dar.
9.Mikataba yote kipindi cha imekuwa ya wazi isiyokuwa na chembe ya ubadhirifu hata kidogo.
10.Ukisikia Escrow hizo ni chuki za watu wenye kutaka vitalu vya gesi kwani pesa zile si umma lakini amemsimamisha Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini ili kuridhisha bunge
Kwa haya mazuri napendekeza tumuongezee miaka 5 ili amalizie viporo vya kazi yake vilivyobaki.

Nice political satire!!! lakini nchi yetu haiwezi kuhimili miaka mingine mitano ya Usanii huu uliokubuhu, kulea ufisadi, rushwa, wizi, ujangili na ukatili wa dola, Narudia, JK aondoke atuachie nchi yetu, tutaumia kwa muda lakini tutaponya madonda na kuirejesha nchi yetu kwenye njia kuu na salama, God bless Tanzania, Good riddance JK
 
Aongezewe bana maana kwa kipindi chake, safari za ndani alikuwa anasafiri na convoy kubwa kabisa kwenda kufungua mradi wa sh.milioni 50 na waziri mkuu Pinda aliwahi kwenda na magari zaidi ya 30 kufungua mizinga 2 ya nyuki...
 
huu ni uchochezi na kutaka kuvuruga amani ya nchi, ila intelejensia ikikubaini mabwepande inakuhusu....
 
Alivochakachua 2010, alifikiri atatawala milele. Miaka inakimbia utafikiri mchezo. 2010, naiona kama juzi vile.
 
Katika uongozi wa Jk kafanya yafuatayo,
1. uongozi wake wanawake wajawazito na waliojifungua kulala kitanda kimoja 4 imebaki historia, mahospitali yetu yanatoa huduma nzuri tena za kuvutia na madawa yapo ya kutosha.
2.Kapunguza deni la Taifa kiasi kwamba bado tuna uwezo wa kukopesheka.
3.Rais wetu kashinda angani akitutafutia watanzania tukimuongeza miaka ataenda nchi nyingi na Tanzania itakuwa nchi ya neema kwa misaada.
4.Rais ana uchungu na nchi ndo maana hataki kuwabugudhi wawekezaji hata kama wakituibia kwani kwa kufanya hivyo kutazuia wawekezaji kuja kuwekeza.
5. Rais wetu amesaidia kurejeshwa kwa pesa EPa zilizokuwa zimeibiwa na akatumia ubinadamu kuwasamehe wezi wale.
6.Ajira kwa vijana zimeongezeka ndo maana zikitangazwa ajira watu hawaendi wengi matokeo yake huchukuliwa watoto wa wakubwa na kuwekwa kwenye nafasi zile maana watoto wa walalahoi hupata ajira pindi wamalizapo masomo.
7.Kila kijana achaguliwaye kwenda elimu ya juu hupata mkopo hata wale 23000 waliokuwa wanasemwa ni chuki za wapinzani kuichafua serikali.
8.Kipindi cha utawala wake kila mtanzania amekuwa na maisha bora na hii hudhihirishwa na foleni za magari Dar.
9.Mikataba yote kipindi cha imekuwa ya wazi isiyokuwa na chembe ya ubadhirifu hata kidogo.
10.Ukisikia Escrow hizo ni chuki za watu wenye kutaka vitalu vya gesi kwani pesa zile si umma lakini amemsimamisha Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini ili kuridhisha bunge
Kwa haya mazuri napendekeza tumuongezee miaka 5 ili amalizie viporo vya kazi yake vilivyobaki.
11.Ametekeleza kwa 100%ahadi zote alizoahidi wakati akiingia madarakani.Sasa Kigoma ni kama Dubai,Kila makutano ya barabara jijini Dar zimejengwa fly over-Naunga mkono hoja ya kuongezewa muda
 
Back
Top Bottom