Mengi kusomewa albadiri Dar es Salaam

Mengi kusomewa albadiri Dar es Salaam

Naomba unisaidie kwa hili. Kwa nini wamiliki wa vyombo vya usafiri kama mabasi na malori hawashitakiwi wao kwa makosa ya barabarani yanayofanywa na madereva waliowaajiri kuendesha vyombo husika?

Una uhakika? Basi likipata ajali wote mmiliki na dereva wana shtakiwa katiks kudai fidia. Kosa la traffic ni la dereva na kama kuna madai yanakwenda kwa mmiliki ndio maana anakua na bima.
Kama mwenye bus hana bima anapaswa kulipa kutoka mfukoni kwake na dereva wake halipi chochote.
Hivo hivo kwa vyombo vya habari.
Hivi navyo vinatakiwa viwe na liability insurance kujikinga na madai kama haya ya libel na slander .
Kuna directors liability inaweza kuwa extended kumkava mengi na wengine.
Hivyo anawajibika kulipa fidia
 
Mrema alisomewa albadili zaidi ya miaka 20 mpaka leo anadunda.Aliwauliza wasoma dua kama kuna anayekunywa chai na Mungu.
 
Una uhakika? Basi likipata ajali wote mmiliki na dereva wana shtakiwa katiks kudai fidia. Kosa la traffic ni la dereva na kama kuna madai yanakwenda kwa mmiliki ndio maana anakua na bima.
Kama mwenye bus hana bima anapaswa kulipa kutoka mfukoni kwake na dereva wake halipi chochote.
Hivo hivo kwa vyombo vya habari.
Hivi navyo vinatakiwa viwe na liability insurance kujikinga na madai kama haya ya libel na slander .
Kuna directors liability inaweza kuwa extended kumkava mengi na wengine.
Hivyo anawajibika kulipa fidia

Hitilafu ya chombo anawajibishwa mwenye chombo, na makosa ya kutozingatia sheria za barabarani anawajibishwa dereva. Usichanganye mambo hapa. Kama mwenye gari hakukatia gari lake bima stahiki, hivyo atawajibika kulipa fidia kutoka mfukoni mwake. Kumkashifu mtu kupitia chombo cha habari, wanawajibishwa mwandishi, mhariri na chombo chenyewe. Mengi ataathirika ikiwa kwa amri ya mahakama, mali za chombo chake cha habari zitakamatwa na kupigwa mnada ili kulipa fidia husika. Kama anaona uchungu wa mali zake kupigwa mnada, itambidi atoe hela ili kulipa hiyo fidia. Nadhani hapo utanielewa.
 
Albadiri ni faraja kwa wajinga tu.

Labda mseme mtamlipua kwa suicide bomber.

Kama albadiri inafanya kazi wanisomee mimi niliyesema mungu hayupo.

Wakusomee albadili kwa kosa gani ulilofanya? Kwani siku ukisema kuwa makanyaga hayupo, kusema kwako huko kutamfanya makanyaga asiwepo kweli? Unajiuhumu pasipo kuwa na kosa,...., interesting!
 
ha ha ha

na kweli,,

mimi sioni ni kwa namna gani yule sanamu anaweza kumdhuru mtu

hivi Allah ni tofauti na Baali. mungu wa kubuniwa ? sababu Allah wa waislam ni version mpya ya Allah wa Makuraish baada ya kumkarabati kwa kuwaondoa wasaidizi zaidi ya 360 kumwondolea mabinti.zake watatu na kumnyang'anya Mungu mke Almanat.
Hivyo ALLAH mkarabatiwa hana mwana kwa kuwa hana mke na hana wasaidizi pia.
mujuha mnajiaminisha nafsi zenu kwamba huyo ni Allah muumba.kweli ninyi ni wa kupimwa akili...
 
Kama ni kweli mi namuomba asome albadiri awe tajiri kumzidi mengi.
 
kova na jk walisomewa kisa kuzuia maandamano ya sheikh ponda

Ndio ikazaa tezi au?

Nijuavyo huwezi muomba Mungu amudhuru adui yako akafanya, Mungu hapangiwi kazi, Iraq Iran palestina wangekesha kufanya ayo mazingaombwe then marekani wangeshskufa wote kwa huo uchawi!!
 
Dah hivi ukiwa umemuajiri mtu aendeshe daladala yako alafu agonge mpita njia mwenye gari ndo anafunguliwa mashtaka? mambo mengine hayahitaji degree..kama nikusoma iyo dua angesoma tangu mwanzo alivyochafuliwa jina sio anatishia saivi kisa 49ml..Lakini ni vizuri wametangaza ili wakimsomea tuone jinsi M.Mungu atajibu haraka waja wake hawa..
 
Jamani nchi inasheria kama imethibitika kwa nn mzee mengh mwenye mambo mengi asilipe tu ,
 
Mbona hakuomba dua ili malipo hayo yafanyiwe haraka ili pesa hizo wazitumie na waislamu wote?! Au kwakuwa ka kwama sasa anaona umuhimu wa dua. Angezipata angekuwa wapi muda huu?! Ni mwehu huyo..
 
Wachafuzi wa dini ni hawa hawa wanaojidai wana dini.
 
Wakusomee albadili kwa kosa gani ulilofanya? Kwani siku ukisema kuwa makanyaga hayupo, kusema kwako huko kutamfanya makanyaga asiwepo kweli? Unajiuhumu pasipo kuwa na kosa,...., interesting!

Sio kwa kosa.

As an experiment to verify the accuracy of a theory.
 
Imeandikwa ya Kaizari tumwachie yeye na ya Mungu apelekewe ya kwake,alafu tunahonywa tusimjaribu bure Mungu wetu
 
hivi Allah ni tofauti na Baali. mungu wa kubuniwa ? sababu Allah wa waislam ni version mpya ya Allah wa Makuraish baada ya kumkarabati kwa kuwaondoa wasaidizi zaidi ya 360 kumwondolea mabinti.zake watatu na kumnyang'anya Mungu mke Almanat.
Hivyo ALLAH mkarabatiwa hana mwana kwa kuwa hana mke na hana wasaidizi pia.
mujuha mnajiaminisha nafsi zenu kwamba huyo ni Allah muumba.kweli ninyi ni wa kupimwa akili...

Mungu gani mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye ipendo wote halafu hapo hapo anakasirika, anaghairi mipango yake, hapendezewi na alichokiumba etc.

Hili linawezekana vipi?

Huyu mungu wa Wakristo na Waislamu yupo kweli au ni wa hadithi tu?
 
Haa haa haa duuuh lkn mungu huyu huyu anae muabudu huyu sheikh, si ndio alituambia tusamehe saba mara sabini, samehe tuu ustaadh!
 
Back
Top Bottom