Recent content by BA AURA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Haya wakuu chivayo atazikwa bila kichwa eti hakijaonekana Nilisema na nitasema Tena na Tena chivayo ni mzima na tukio limetengenezwa tu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Sawa mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Ok thanks
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania FT: Argentina 3-2 Cape Verde | World Cup 2026 | Hard Rock Stadium | 4 Julai, 2026 | 7:00 Usiku

    Double chance Ila cape verde imeshaheshimika duniani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026: Hakuna timu kutoka Afrika itakayoingia robo au nusu fainali

    Hawa cape verde!!!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 3-0 JKT Tanzania | Ligi Kuu NBC | 30.06.2026 Yanga Bingwa kwa mara 5 mfululizo

    Yanga wamebeba tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara 5 mfululizo Ambapo msimu huu wa 2025/ 2026 ilionekana kama kutobeba ubingwa huu lakini wameonyesha ubabe wao tena ##### Vinara wa ligi kuu bara au mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Tanzania bara Young African sport club Leo watakuwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

    Duu inasikitisha Ila pole sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Allan okello vs Fei Toto zinaleta sintofahamu

    Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uzi wa walemavu wanaotafuta MKE au mme

    Umenena ukweli mkuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Uzi wa walemavu wanaotafuta MKE au mme

  12. B

    JamiiForums Tanzania Uzi wa walemavu wanaotafuta MKE au mme

    Habari wakuu , kwa wake wenzangu na Mimi wenye ulemavu wa aina yoyote iwe hearing problem , bubu ,albino nk Basi karibuni mtafute wenza hapa maana huwa tunajiona wanyonge au kujikatia tamaa hasa kwenye suala la ndoa , mode naomba huu uzi usiunganishwe na zingine
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

    Duu nilipigwa kwenye money Ila nikazinduka japo nilichelewa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuunganisha ligi ya Zanzibar na Tanzania bara

    Kweli Kama watu wa michezo hasa football hili Jambo la kuunganisha ligi mbili haliingii kichwani kabisa!! Au ndo mkakati wa kuwapoteza wananchi kwenye October 29? Ikimbukwe ligi kuu bara Ina udhamini wake na Zanzibar pia Enyi wabunge mnataka kuingiza siasa kwenye michezo kwa kuficha maovu yenu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

    Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni *Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji *Ukiomba game anasema amechoka Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
Back
Top Bottom