Recent content by B52H

  1. B52H

    Ajali Ikungi: Basi la Abood lateketea kwa moto baada ya kugongana na Lori

    Ikungi Maeneo ya manyoni Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B52H

    Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

    Klabu ya Aston Villa imemsajili nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka 4 na nusu akitokea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Official Mbwana Ally Samatta ni mchezaji wa Aston Villa baada ya kukamilisha usajili akitokea KRC Genk ambao ni mabingwa wa Belgium. Misimu mitatu na...
  3. B52H

    Tamthilia za Azam tv zina Udini

    Wewe ndio una udini, maana akili yako inawaza upumbavu muda wote! Hujui hata maana ya maudhui ya tamthilia hizo tajwa, halafu kwani umelazimishwa? Kuna TV km Emanuel TV huzioni?
  4. B52H

    Ulaji mwingine waja vyeti vya udereva

    Jiwe mwenyewe hana cheti cha Driving school [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  5. B52H

    JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

    Asante sana bro!
  6. B52H

    Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Umepotoka sana, km unaona vibaya Mungu kuabudiwa na kutukuzwa kwa takribani nusu saa tuu ktk siku saba za wiki na huku yeye ndie aliekuumba ww, ardhi na kila kilichomo na neema zake nyingi kwako hata umeweza kuwa na kasmartphone unakotumia kuonyesha eti unakerwa muumba kuabudiwa na kutukuzwa ktk...
  7. B52H

    Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Inakera nini hapo? Kusalli kwa dkk kumi tu? Ila ingekuwa kucheza vigodoro usiku kucha hiyo ni sawa? Epuka kutumiwa na shetani ktk mipango yake!!
  8. B52H

    TANZIA: Joel Bendera, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, afariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mkewe amekanusha habari hii na amesema kweli anaumwa yupo ICU Muhimbili lkn hajafa!
Back
Top Bottom