Ajali Ikungi: Basi la Abood lateketea kwa moto baada ya kugongana na Lori

kinjekitile70

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
1,072
1,421
Basi la kampuni ya Abood limegongana na lori
Liko ninateketea kwa moto

Taarifa zaidi tutwapa update
IMG-20200420-WA0047.jpeg


====
AJALI Yaua SINGIDA, BASI LAGONGANA na LORI la MAFUTA Basi la kampuni ya Abood linalofanya safari zake kutoka dar kuelekea mwanza leo April 20, 2020 limepata ajali maeneo ya Ikungi Mkoani Singida kisha kuwaka Moto baada ya kugongana na Lori kama unavyojionea.

Dereva wa basi akimbia, Kondakta amethibitishwa kufariki majeruhi wako hospitali
 
Dah mzee kama unafukuzwa vile... Tulia useme ni eneo gani? Kuna watu wamefanikiwa kutoka abiria au vp?
 
Back
Top Bottom