Recent content by b4theg

  1. b4theg

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wadau kuna anae Tumia hii ya Vodacom?
  2. b4theg

    JamiiForums Tanzania Inasemekana huyu mwamba ni tapeli wa kutisha, kuna yeyote anamfahamu?

    Nilienda kituo Fulani cha Polisi baada ya kutapeliwa. Mkuu wa kituo alinionyesha picha za matapeli wanao watafuta. Kama kati ya hizo atakuaemo alie nitapeli. Niliona picha Nyingi sana. Ya huyu ilikuwemo. Pia Nilipata story Nyingi za matapeli Nyingine Zina chekesha na Kuhuzunisha. Mfano Kuna...
  3. b4theg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kuna shirika fulani lilikua lina simamia mradi mkubwa. Sasa nikapata kibarua huko nikapewa chuma zero km lakini masharti ya mradi top speed ni 80km/h na lina kiingamuzi. Week ya Kwanza tu nilikula warning letter 3. Yani unapitwa mpaka roho inauma. Alafu kwa siku ni 400km tu safari ya Dar Bukoba...
  4. b4theg

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Toyota Corolla Runx

    Zze123 6 speed manual
  5. b4theg

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0243 Singida
  6. b4theg

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Omba ushauri kwa mkeo.
  7. b4theg

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0242 Nzega Tabora
  8. b4theg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ni kweli kabisaa. Hilo eneo ni hatari mno unaweza kunasa wakati hakuna maji. Wanasema unaitwa bubu kwasababu maji yake huwa yanakuja kimya kimya tu. Hakuna daraja.
  9. b4theg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hapana nimepita kondoa mjini nimetokea mto Bubu, seria, katesh nakuendelea. Kwa mtoro kwenye ile game reserve ya swagaswaga kuna mbung’o sana. Ukifungua tu kioo imekula kwako. Alafu barabara ina mawe makubwa sana huko kwenye game.
  10. b4theg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ndio brother. Kuanzia Mzizima to Mutukula alafu jmos Narudi mpaka Tabora. Ila % Kubwa ya safari ni kwa njia za ndani ndani lami ni Maeoneo machache. Kwa mfano Dar to dom nimepita handeni nimetokea kilindi, kiteto, kondoa, seria, hanang mpaka Singida mjini.. mwendo ni 80km/h .
  11. b4theg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

  12. b4theg

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

  13. b4theg

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Inawezekana kutumia line iliyomo kwenye router ya Airtell kwenye smartphone? Kama inawezekana kwa settings zipi? Nimejaribu kuweka naona hailete internet, wakati ina kifurushi cha mwezi.
  14. b4theg

    JamiiForums Tanzania Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Save private Ryan
  15. b4theg

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

    Ndo umechambua hapo?
Back
Top Bottom