Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,837
Kama uliuangalia huu mpira kwa makini unaweza ukakubaliana na mimi kwa hakika kuwa Hizi ndio timu zinazowania nafasi ya pili, Yanga amewaacha mbali both azam na simba kiuchezaji, kwa kifupi gemu yao ya Leo ilikuwa kama chandimu, vibonde wote hawa wawili ambao mmoja alikula bao tatu na mwingine akigongwa chuma tano na mabingwa wakihistora Yanga sc walikuwa wakiruka ruka kama mapoyoyo uwanjani.

Leo kulikuwa na POINT SITA za Yanga na magoli 8 zikipambana, bila kusahau Goli nne za Aziz Ki zilizokuwa zikitifuana bila malengo huku wakicheza butua butua kama walevi wa mbege toka rombo.!

Kimsingi hawa wote ni VIBONDE.. Mpira wa namna hii huwezi kuchukua ubingwa, huu ni mpira kwa timu zinazowania nafasi ya pili na nafasi ya tatu, pira takataka, pira gimbi.

Wachezaji wa timu zote mbili walikuwa wanacheza kama wamepiga PUNYETO kwa mafuta ya taa.
 
Back
Top Bottom