Recent content by B4kamaz

  1. B

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Nyie vijana wa CCM msituchezee humu mitandaoni, kama mmelipwa kufanya kampeni za kuichafua ITV mkome! Mbona hamuandiki kuhusu TBC na Star TV, kama kweli mnaongelea upendeleo!? Acheni ujinga! Au kwakuwa ITV shows CCM for who they really are? Kwa macho yangu nilishuhudia mwandishi wa TBC akiruka...
  2. B

    Kulikoni ITV kukata matangazo punde baada ya Rais kutangazwa!?

    Acheni unafiki vijana wa CCM, ile haijawa SUPERBRAND kimakosa, unadhani walikuwa hawajui kama Magufuli atashida hadi wanarusha kutangazwa kwake? Halafu hakuna watu wanaobalance kwenye kutoa taarifa kama ITV kile ndo kituo pekee kilikuwa na lengo la kuripoti hali halisi toka kuanza kwa kampeni...
  3. B

    This election is not about Lowassa, It is about us

    I wish most people can understand this and find a logic behind what you wrote, because that's the way all voters should think. Most think that they can separate Magufuli's supposedly efficiency from CCM's exploitative system and most go to the polling stations saying to themselves "naenda...
  4. B

    United Kingdom statement on Zanzibar elections

    Sasa tumewaita wa nini kuja kuangalia uchaguzi kama hawata toa maoni!? Futa huo uchafu hap juu. Na acha wafanye kilichowaleta.
  5. B

    Tusaidiane kuhusu course work

    kama mkiharibu kazi halaf hamueleweki mnanyimwa halaf mnapigwa quiz, huku nlipo ishawahi tokea. Na kuhusu course work usiwaze coz kwengine ni kubwa kuliko 16. Nenda kwanza chuo mengine utajifunzia huko, try being flexible you'll survive!
  6. B

    Iam looking for a serious boyfriend!

    First, be serious yourself if you want a serious boyfriend! A serious person can't find a companion like this in the social network. and you don't even know your age (20-24 What's this!?)!!! No wonder you are still single! But thanks for the offer but i'll pass. Good luck on finding a boyfriend!
  7. B

    Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania latoa tamko la kumuunga mkono Dr. Magufuli

    Mmh! makubaliano hayo cjawahi kuyasikia, lakini ukiniuliza kuliko kuwahishiwa mkopo si bora mimi na wadogo zangu na wanangu tusome bure, kama alisema hivyo Magufuli nawaunga 'mkonyo'. Ila sidhani hata kama aliwaza hivyo so sipo katika mkumbo huo hata kama ni mwanachuo.
  8. B

    Kwa staili hii kina dada mtaumia

    Sifa wepesi kaka! Gari imemzuzua huyo, una Mercedes nini!?
  9. B

    Josephine Mushumbusi amefuata/atafuata nyayo za Regina Lowassa?

    Kwa mtazamo wangu swali lingekuwa; Je, Slaa atamfuata mkewe chama chochote atakachohamia? coz nahic kama wife anampeleka mzee! Akibisha analazwa nje tena.
Back
Top Bottom