Aaaaah mie barabarani unanipita tu bila hata kunotice kama kuna mtu umempita. Afu wewe na watoto wazuri pale feri tutakusahau soon tehKuna ubaya gani kumpa lift mrembo kama wewe barabarani?!!
yani laki moja na ishirini inakufanya unatokwa na maneno balaa embu mpeleke mtoto shoping
njaa kali mjiniHuyo nae muwindaji tu, walikutana wawindaji sasa analalama nini tena!! Apeleke shoping huko ye si ana gari.
njaa kali mjini
ampe tu simu ya whats appEti anajifanya hajui!! Mambo magumu haya jamani ampeleke tu shoping.
ampe tu simu ya whats app
ha ha ha gari zenyewe fourth hand ,,.. mimi simtaki huyu hata laki hawez kutoaUmeshajua jamaa ana gari?
Changamkia fursa hiyo!!
ampe tu simu ya whats app
uchoyo uliokithiri tenaSasa mwenzie hana simu ya wasap alafu anambania, uchoyo tu!
kwani simu ya whatsapp shilingi ngapi mahirtwahir!?? Mnunulie tu....
njaa kali mjini
Huyo nae muwindaji tu, walikutana wawindaji sasa analalama nini tena!! Apeleke shoping huko ye si ana gari.
Eti anajifanya hajui!! Mambo magumu haya jamani ampeleke tu shoping.
ampe tu simu ya whats app
Sasa mwenzie hana simu ya wasap alafu anambania, uchoyo tu!
uchoyo uliokithiri tena
sasa mwenzie hana simu ya wasap alafu anambania, uchoyo tu!
Umeshajua jamaa ana gari?
Changamkia fursa hiyo!!
Wabadilike 'wadada wanao omba simu ya watsap'....
Nyinyi wa Instagram haiwahusu ha haaa