Recent content by b2k

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Hayo ni machache tu kati ya mengi ambayo ninayafanya, na ukweli utabaki kwamba mumeo angekuona wewe wa maana kwanini kaja kwa ngumbaru mie? Hamjui mapenzi, hamjui kupenda, hamjui kuthamini, hamjali mpompo tuuu kisa usomi na malaptop yenu kila siku mnapishana checkin na mumeo na kwa taarifa yako...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Yaani hawa wenye digrii hawa ni mzigo ambao ili uutue lazima ufike, wanadai hawana muda wa kulea ndoa lakin ndio wanaoongoza kuliwa kiboga na madereva wao ofisin. Unakuta hana muda na mume lakini dereva anayemwendesha ndio anaema mzigo kila siku, tena wakizidiwa hata wafagizi wa ofisini mwao...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Wenye usomi wao watakuja juu oooh!!! hawa ni wkasababu ya shule lakni ukweli unabaki pale pale mwanamke aliyesoma ni majanga kwenye ndoa. Wanawaburuza wanaume utafikiri mikokoteni ndio maana mangumbaru tunasoko zaidi kwa waume zenu wasomi wenzenu.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Nafikiri kama mkitafakari kwa makini basi mtaelewa anacho maanisha. Haya ngumbaru anaringia papuchu yake basi na wewe mwenye digrii mwache afaidi yatokanayo na papuchu yake. Hata nje ya papuchu ngumbaru mimi bado nina nafasi kubwa sana ukiona fundi bomba, umeme, friji, mkata fensi, fundi mabanda...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Mbaya zaidi ni kwamba hata nje ya kuonjeshana chumvi bado mimi ngumbaru bado ninauwezo mkubwa. Wewe utashobokea kijikazi chako na ubosi wako lkn mie nitashobokea hilo hilo genge langu nnalouza dagaa uchungu na tembele. siwajui watu kwenye madaraka lakini sitakosa kumjua mkatisha tiket wa mabasi...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Mie sina dukuduku nao tena kama wanaweza wanisome katikati ya mistari, ndio akili za darasani sina lakini za maisha zipo. Hivi mkuu wewe kama ni mwanaume akitokea mkeo kila siku hana huduma anayokufanyia wewe yeye kama yeye zote anasaidiwa na wasaidizi, lakini nje huko kwa ngumbaru wako kila...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dushele,Mbunya na Simu kipi ni cha Siri sana?

    Utoto tabu kweli! Ukikua utaacha
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Swala sio kavurugwa ila huo ndio ukweli. Wanawake mliosoma mna maudhi sana nyie kila kitu mnakijua nyie, mume hana nafasi yake yaani nyie ndio mnataka msikike na mnaojua haki za wanawake na haki zenu kwenye ndoa. Huwaga nawashangaa sana na kuwaonea huruma manake kumbe muda mwingine ndoa...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Tatizo ni kwamba wanwake wasoi hujisikia sana eti kisa nimesoma basi mume wangu hawez kucheat, Mara mume wangu hawezi kutembea na ngumbaru kama yule mtu hata kukaa meza ya wasomi hajawah atatoka aende nae wapi? Mkasahau kwamba hao hao mangumbaru ndio wanaaongoza kutoka na waume zenu, manake...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    Waambie mwaya wamezidi sana hao wanaojidai wamesoma.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sababu ya 1000,800,562 ya kumchagua madame B awe miss chit chat 2012

    Pole mwaya ila vimwandiko vyenu vinafanana kwa mbali. Msameheni babu wa watu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    mkuu nakuunga mkono kwa hoja hii, kimsingi watu wanaukataa ukweli tu ila Tz itaongozwa na Lowassa namkubali na najua tutajifunza kuwa na akili tu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Fainaly ya Miss chitchat November piga kura hapa

    ciello
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani sijielewielewi juu ya my super handsome boss!!! Ushuri please!!!

    mwandiko wa Erotica, but naupenda free style.
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani kuoa ni kazi sana acheni tu

    watu8 unaakili sana. hebu rudisha ile avatar yako ya mwanzoni kabla ya hii?
Back
Top Bottom