Recent content by b191

  1. b191

    JamiiForums Tanzania Wasiposema maaskofu, Nani atawasemea Watanzania?

    Aliyeanzisha falsafa ya vijana ni taifa la kesho hakukosea.
  2. b191

    JamiiForums Tanzania Pope Francis: Vijana pazeni sauti zenu mpaka viongozi wawasikie kwa kile mnachokiamini

    Mkuu huyu Pengo hana maono tena.
  3. b191

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepoteza hamu ya kuwa na mwanaume baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na mahusiano

    Hilo tatizo ni dogo sana na unaweza kupona kabisa....
  4. b191

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nipo kwenye kibao cha matangazo ya mechi za Leo. Kibao kimeandikwa SIMBA vs MAJIMAJI Halafu nimemkuta Mzungu na yeye anasoma tangano. Ili kumuonyesha Mzungu kuwa hata Mimi Ki-ingilishi nakijua nimemuuliza, "DO YOU LIKE LION or WATER WATER" Naona Mzungu anatabasabu. Nadhani atakuwa...
  5. b191

    JamiiForums Tanzania Hali bado siyo nzuri kwa mawakala katika uchaguzi wa Kinondoni

    Figisu figisu zimeanza.
  6. b191

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Jamhuri ana mamlaka ya kuwaagiza mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi (Zanzibar)

    Wazenji wana-sumu wakiwa kwao. Ila wakivuka tu maji kuja bara huwa wanaufyata mkia. Nadhani thinking capacity yao inakuwa ZERO pale wanapokanyaga ardhi ya Bara.
  7. b191

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinadada mpunguze kuweka limao kwenye hizo nanihii zenu

    Mmmmh... Nawahi kwanza siti.
  8. b191

    JamiiForums Tanzania Here comes Daudi Albert Bashite

    A nation of propagandist of which Leaders always think that once they loose paraplegia they have to act like parasol.
  9. b191

    JamiiForums Tanzania Kosa la nani?

    Camera man
  10. b191

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Dodoma

    Ha ha haaa.... Ulikuwa unafuata barabara kama gari. Ingia ndani ya Mtaa uone.
  11. b191

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe ni rahisi kujua kilicho katikati ya miguu ya mwanamke kwa kumuangalia usoni!

    Subiri wanakuja na mashambulizi.
  12. b191

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyeripoti nyufa hostel za Magufuli (Kumbusho Kagine) adai amenusurika kutekwa na watu wasiojulikana

    Pole yake Kijana, nyakati hizi hazifanani na Nyakati zile. Amepewa ushauri nini cha kufanya naomba auzingatie. Pia naomba nimuongezee ushauri mwingine tafadhali mfikishieni na auzingatie "ASIMUAMINI MTU YEYOTE MAHALI POPOTE NA WAKATI WOWOTE"
  13. b191

    JamiiForums Tanzania Kipato cha mtu mmoja mmoja kimeongezeka, tusiruhusu ujinga wa kisiasa ukadhoofisha ubora

    Kuna wakati huwa siwaelewi kabisa... viongozi wetu. Huwa najiuliza hawa wenzetu walisomea Marekani halafu wakaletwa Tanzania kuja kutuongoza au Walisomea hapahapa Tanzania?
Back
Top Bottom