Recent content by B.K

  1. B

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    Mtoa post wewe mwenyewe hujui kingereza alafu unamkosoa Mh. Kweri watanzania kama wewe akili zenu ni mgando kama chumvi ya magadi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Madaktari na wauguzi wanne Mwanza wasababisho vifo vya watoto mapacha kwa kutomzalisha mjamzito

    Jingalao, mkurugenzi hajakurupuka, tena mi naona hakuna haja ya kuweka tume ya uchunguzi kwakuwa tatizo liko wazi. Manesi ndio kawaida yao. Sio kesi yakwanza iyo. Hata ningekuwa mimi ningefukuza na vyeti vyao kufungia kabatini.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Leo katika Historia: Ijue Russia facts 13 za kusisimua ambazo hutaamini

    Asante kwa Somo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Mi ninavyojuwa dawa za mitishamba azitolewagi bure, unatowa nauli ya kwenda shamba kuitafuta inaitwa ( chikuba nsiko) hicho kiruga kiswahili sijui nisemeje.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Anatowa 20,000/- kwanza akishapata mtoto anakuja kumaliza 20,000/-
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Uyo mganga mwizi tu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Nimpendenani, Kama alikuamini akifikia kukuambia ivyyo, atakuelewa tu. Akija mwambie anitafute garama yake ni Tsh.40,000/- tu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Wakati mwingine hospital wanatowaga majibu ambayo siyo sahii, ninaye rafikiyangu amekaa miaka saba katika ndoa bila mtoto, na amezinguka katika mahospital mengi kupata dawa na ameula dawa za kila aina, mpaka wakafikia uamuzi wa kupandikiza mbegu ikawa bila. Alikuja kunywa dawa week mbili sasa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Mwambie aje nimpe dawa ya kienyeji kama anaweza kunywa, dozi ya week mbili, nampa 100% mwezi utakaofuata ana mimba. Kulikokujitia katika presha na majaribuni.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Mikopo na wengine watatu wasimamishwa kazi

    Mussa ulitaka wafanywe je kama atuwa yakwanza? Nyienyie malalamikia mikopo inaenda kwa wasio stahili na bado mnabeza. Watanzania kweri kichwa cha mwendawazimu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima na Mbunge wa Kinondoni, wazuiwa kumuona Mufti Mkuu Muhimbili

    Uongo mtupu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mkopo

    Nenda board waone Loan recovery officers watakusaidia.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hii si sawa: Majaji wajiandaa kuandika hukumu ya wahujumu uchumi kwa maelekezo ya Rais Magufuli

    Waterloo we ni mmoja wa watanzania ambao hawana Jema, Mahakama ilisema haina fedha za kuendesha izo kesi, Raisi kawapa pesa sasa mna taka nini? Pia amesema wahukumu inaweza kuwa + au -ve. Jamani mwacheni jamaa apige kazi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia shule binafsi kupandisha karo ni njia sahii ya kuboresha elimu?

    Mtowa mada ni 0 x 0
  15. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ismail H. Kimungu afariki dunia

    R. I. P
Back
Top Bottom