Recent content by B.4really

  1. B.4really

    Hivi wananchi wa TARIME wameshindikana katika Nchi hii?

    Huu uzi umenipa picha halusi ya jinsi kabila langu halipendwi na watu wa nchi hii, japo kiuhalisia ni watu tunaoishi kwa upendo sana na watu wa kabila zingine.... kwa nini nimesema hivi, kuna nyuzi nyingi sana za watu kuuliwa humu ndani recently ya marehemu Milembe (r.i p)kule mkoani Geita ila...
  2. B.4really

    Naomba ushauri: Baada ya kukosa mtoto nilipendekeza mume wangu azae na dada yangu ila sasa mambo yamebadilika

    Hii stuation ni maaad,ju uliamua kuruhusu bwana ako asex na mdogo ako,hapo ndio place uliharib hiyo doa sasa cha kufanya finally ni ww kukaa kando na kumuachia huyo mdogo ako aendelee nae ju ww hukuwa tayari kwa hiyo doa.
  3. B.4really

    Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

    Hii no.3 imenikumbusha mbali sana na kwake nilikuwa naenda nalala kabisa[emoji2960]
  4. B.4really

    Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

    Na mm hii nakubali kuna mmoja huyo enzi namfahamu akiwa kwenye 20's alikuwa na uwife material akawa anafuatwa na waolewaji ila sasa akaja akakutana na kijamaa kilikuwa kihuni kikamfundisha pombe na clubbing za kila weekend baadae si akamuacha demu akawa amekolea kweny ulevi,mpk sasa ana 33yrs...
  5. B.4really

    Kunyolewa nywele usiku kishirikina

    Mimi mwenyewe nilikuaga mbishi kama wewe ila baada ya kuyashuhudia ndio nmebaki mdomo wazi.
  6. B.4really

    Kunyolewa nywele usiku kishirikina

    Mkuu sidhani kama ni hzo kemikali,maana kwa mwingine ambaye ni mwanamke yy ilishamtokea zaidi ya mara moja na mara ambapo mara ya kwanza nywele hazikuonekana kabisa ila mara ya pili alizikuta nywele kitandani.
  7. B.4really

    Kunyolewa nywele usiku kishirikina

    Wakuu habarini za weekend! Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu watatu waliofanyiwa hayo matukio,na kibaya zaidi ni hizo sehemu wanazonyolewa huwa hazioti nywele kwa...
  8. B.4really

    Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

    Wa kwanza huyo ni dada mkubwa nnaemfuatia mm.,.ila huyo wa pili ni dogo kwa hiyo kwa sababu nilikuwa responsible kwake directly ndo maana wazazi walinipa baraka zote...kuhusu maisha yake ameshajifungua na yupo kwa bwan'ake anajitafuta huko
  9. B.4really

    Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

    Acheni kabisa mimi kiukweli dada zangu ni moja kati ya watu wamenisababisha binti yangu nimlee kwa mapenzi yote udogoni ili akifikia umri wa kujitambua nimuwekee masharti magumu sana....dada wa kwanza alipata mtoto baada ya kumaliza form 6,mdogo ndio nikaingilia kati na kumfukuza nyumbani maana...
  10. B.4really

    Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

    Hawa watu ni media tu za kina mchomvu ndio ziliwapa airtime kibongo bongo na zile hip hop mavi za kibongo fleva ila ukikaa nao ni weupe yani kwao ujanja wanajua ni kuongea kiswahili kile cha ovyo ovyo na mavurugu though kwa wale walioenda shule ni watu poa sana.
  11. B.4really

    Barua za Ajira Portal

    Wakuu msaada wenu.. Naupload picha, na verification documents naambiwa already exist na ndio vitu nilivyobakiza..pliz kama kuna yoyote anayeweza kunisaidia tafadhali maana nimegomea kwenye 95%
  12. B.4really

    Uume kuwa kama wa mtoto

    Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa 28yrs nimegundua nna tatizo la uume wangu kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto, ili hali sina tatizo la nguvu za kiume,shida inaweza kuwa ni nini na tiba yake? Natanguliza shukrani.
  13. B.4really

    Oppo A31 64GB 4GB vs infinix note 10 128 GB 6GB

    Hapa tu nimetype kwa oppo A31
  14. B.4really

    NIDA hamtendi haki, zaidi ya mwaka tuliochakata vitambulisho vya taifa hatujapata namba

    Dah basi kumbe shida iko kwa watendaji mm nmefuatilia ila sioni hata dalili mkuu
Back
Top Bottom