B.4really
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 199
- 89
Wakuu habarini za weekend!
Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu watatu waliofanyiwa hayo matukio,na kibaya zaidi ni hizo sehemu wanazonyolewa huwa hazioti nywele kwa muda mrefu. Hizi nywele huwa zinapelekwa wapi!?