Uume kuwa kama wa mtoto

Uume kuwa kama wa mtoto

B.4really

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
199
Reaction score
89
Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa 28yrs nimegundua nna tatizo la uume wangu kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto, ili hali sina tatizo la nguvu za kiume,shida inaweza kuwa ni nini na tiba yake?
Natanguliza shukrani.
 
Mimi siyo daktari lakini unahitaji zaidi tiba lishe na madini ya zinc kwa wingi yanapatikana kwenye samaki.

Halafu acha kuvaa chupi za kubana dushe, vaa boxer dushe liwe free, angalia wamasai hata chupi hawavai dushe linakuwa free na kupata ukuwaji unaostahili.

Halafu kama una mwili mkubwa punguza mwili huo mafuta mengi, fanya mazoezi, hakuna maajabu tatizo kubwa ni life style zetu.

Ngoja waje madaktari kama zipo sababu za kisayansi watakwambia ila siyo shida kubwa hiyo kwa sasa, ni tiba lishe tu.
 
Ungesema una cm ngapi! Unaweza kusema una uume mdogo kumbe ulibandua mwanamke mdogo mwenye uchi bwawa akakuathiri kisaikolojia
 
Mimi siyo daktari lakini unahitaji zaidi tiba lishe na madini ya zinc kwa wingi yanapatikana kwenye samaki.

Halafu acha kuvaa chupi za kubana dushe, vaa boxer dushe liwe free, angalia wamasai hata chupi hawavai dushe linakuwa free na kupata ukuwaji unaostahili.

Halafu kama una mwili mkubwa punguza mwili huo mafuta mengi, fanya mazoezi, hakuna maajabu tatizo kubwa ni life style zetu.

Ngoja waje madaktari kama zipo sababu za kisayansi watakwambia ila siyo shida kubwa hiyo kwa sasa, ni tiba lishe tu.
Hapo kwenye mwili mkubwa hata mimi naunga mkono,kingine kama ana tabia ya kujichua aache mara moja...
 
Back
Top Bottom