Oppo A31 64GB 4GB vs infinix note 10 128 GB 6GB

mtu bati

Senior Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
117
Reaction score
129
Wakuu simu hizi aina mbili. Ipi itanifaa zaidi kati ya hizi mbili? Nataka nichukue moja Kati ya hizi. Ubora, kudumu, performance, na vingine vingi. Nan Zaidi?
 
Chukua oppo hutojutia mkuu, mi natumia oppo F7 mwaka wa tatu huu haijawai nisumbua kwa lolote mpaka sasa hivi
 
Tuzilinganishe kwa kuangalia factors 5 za muhimu (5 pillars):

1. Display

Zote ni IPS LCD Displays ila Infinix ni ng'avu zaidi kwasababu ina ppi density ya 380 wakati Oppo 270 tu.

Pia Oppo ni HD 720p inch 6.5 wakati Infinix ni 1080p fHD inch 6.9 ukubwa.

Hapa Mshindi Infinix.

2. Chipset na OS.

Zote zinatumia midrangers chipsets Mediatek na kuna uwezekano zote zisipate updates za Android.

Lakini Oppo inakuja na Android 9 (Pie) wakati Infinix anakuja na Android 11 (Red Velvet Cake)

GPU zote pia zinafanana sio tofauti sana.

Mi nimempa Infinix ushindi.

3. Memory.

Naona hapa mshindi Infinix kwa RAM GB 8 na internal memory ya 128 GB.

4. Camera.

Infinix ana camera tatu nyuma. Kubwa ni 48 MP, na mbili za 2 MP, zenye aperture ya f/2.4 kwaajili ya depth na monochrome. Selfie ni 16 MP.

Oppo yeye anazo pia tatu. 12 MP, f/1.8, (wide), 1/2.86", na mbili za 2 MP, f/2.4, (macro na depth) na selfie ni 8MP.

Mshindi Infinix mapemaa.

5. Bei.

Hii tunakuachia wewe.

Hitimisho.

Mi naona kama unanunua brand utachukua Oppo ila kama unaangalia specifications, Infinix ameshinda.
 
Nilimnunulia dada yangu flani hivi INFINIX SPARK 5 baada ya mwezi tena nilienda kununua simu ya OPPO A15.

Huwezi amini nilikaa nayo OPPO A15 siku 1 tu nikawa nauza ile simu ya INFINIX SPARK 5 ya Dada hata kwa hasara ya 180, 000/= ili niongezee pesa nimnunulie Dada yangu simu ya OPPO A15
 
Tuzilinganishe kwa kuangalia factors 5 za muhimu (5 pillars):

1. Display

Zote ni IPS LCD Displays ila Infinix ni ng'avu zaidi kwasababu ina ppi density ya 380 wakati Oppo 270 tu.

Pia Oppo ni HD 720p inch 6.5 wakati Infinix ni 1080p fHD inch 6.9 ukubwa.

Hapa Mshindi Infinix.

2. Chipset na OS.

Zote zinatumia midrangers chipsets Mediatek na kuna uwezekano zote zisipate updates za Android.

Lakini Oppo inakuja na Android 9 (Pie) wakati Infinix anakuja na Android 11 (Red Velvet Cake)

GPU zote pia zinafanana sio tofauti sana.

Mi nimempa Infinix ushindi.

3. Memory.

Naona hapa mshindi Infinix kwa RAM GB 8 na internal memory ya 128 GB.

4. Camera.

Infinix ana camera tatu nyuma. Kubwa ni 48 MP, na mbili za 2 MP, zenye aperture ya f/2.4 kwaajili ya depth na monochrome. Selfie ni 16 MP.

Oppo yeye anazo pia tatu. 12 MP, f/1.8, (wide), 1/2.86", na mbili za 2 MP, f/2.4, (macro na depth) na selfie ni 8MP.

Mshindi Infinix mapemaa.

5. Bei.

Hii tunakuachia wewe.

Hitimisho.

Mi naona kama unanunua brand utachukua Oppo ila kama unaangalia specifications, Infinix ameshinda.
Achukue hiyo infinix pamoja na hizo specs zake aone kama atamaliza nayo mwaka bila kuanza lawama.
 
Nachukua oppo mkuu. Hizi specifications bado hazijanivutA
 
Mwaka wa nne huu niko na hii simu haijawahi kustack wala kuleta zongo lolote lile na ndiyo simu nimekaa nayo muda mrefu zaidi bila kuichoka.
 
Mimi natumia OPPO, kwa upande wa Applications zinaji-update zenyewe, sikumbuki ni lini niliupdate kwa baadhi ya apps, zingine zinakukumbusha uzi-update. Kifupi haijanisumbua
 
Natumia infinix S3X. Mwaka wa tatu huu haina tatizo lolote kabisa. Simu ni matumizi ya mtu tuu. Kuharibu au kutunza simu ni suala ambalo lipo mikononi mwa mtu.
 
Back
Top Bottom