jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,742
- 14,395
Weka hiyo hiyo Mm ndio huwa naitumiaWakuu CV inayotumika ajira portal ni Ile ya kwao nii download alafu niiweke ?
Weka hiyo hiyo Mm ndio huwa naitumiaWakuu CV inayotumika ajira portal ni Ile ya kwao nii download alafu niiweke ?
Siyo kweli
aah vipi kuhusu leseni mkuu isiporenew inakua kesi kwli???Siyo kweli. Nimeshawahi ku apply ajira mara nne na mbili niliitwa na sikuweka cv mnayoisema hapa. Application ya Kwanza niliitwa nikaangukia pua written(ilifanyika DUCE). Ya pili sikwenda sababu niliona napoteza tuu nauli kama laki1 kwenda Dodoma, kurudi Dar na malazi) kuwania nafasi mbili watu 400. Ya tatu walinitema "academic certificates are not certified by an advocate" ilihali zile mbili za mwanzo niliitwa pasipo ku certify. Ya mwisho system ilinikataa nisi apply nikaitekenya nika apply. Majibu yakaja sina relevant qualifications. Baada ya kuanza utaratibu wa kufanya usahili Dodoma, nikaenda kuchukua mkopo wa vijana halmashauri nikaamua tuu kujiajiri mpaka leo.
NB: Wakiamua kupunguza watu wana mbinu nyingi hao jamaa
Kuweka hy cv sio kosa mpaka ikufanye usiwe selected, ila ni vizuri ukaandaa cv tofaut na hiyo na hii ndo ushauri wangu kuliko kutumia hy ya kwenye systemSiyo kweli. Nimeshawahi ku apply ajira mara nne na mbili niliitwa na sikuweka cv mnayoisema hapa. Application ya Kwanza niliitwa nikaangukia pua written(ilifanyika DUCE). Ya pili sikwenda sababu niliona napoteza tuu nauli kama laki1 kwenda Dodoma, kurudi Dar na malazi) kuwania nafasi mbili watu 400. Ya tatu walinitema "academic certificates are not certified by an advocate" ilihali zile mbili za mwanzo niliitwa pasipo ku certify. Ya mwisho system ilinikataa nisi apply nikaitekenya nika apply. Majibu yakaja sina relevant qualifications. Baada ya kuanza utaratibu wa kufanya usahili Dodoma, nikaenda kuchukua mkopo wa vijana halmashauri nikaamua tuu kujiajiri mpaka leo.
NB: Wakiamua kupunguza watu wana mbinu nyingi hao jamaa
Mimi kuna uzi nilikwambia unajikuta mjuaji na una ego sana ukaishia kunitukana ogopa sana mtu baki akwambie haya[emoji23][emoji23] Daaah nmecheka sana,
Kuna mtu hajui kitu flani lkn swali analouliza inaonyesha huyu ana uelewa kichwani.
Halafu kuna mwingine anauliza swali, hilo swali linamuonyesha huyu mtu hana akili timamu.
Barua najua wanarecommend kwa chance mbili Either Kiswahili or English regardless tangazo limetoka kwa kingrz au KiswahiliKwanza hizi barua ni kwa lugha gani tunaandika mbona matangaxo yako kwa kiswahili
Nakushauri fanya typing ila kwenye sign weka kwa mkono. Kama utafanya typing kwenye simu bc kuna app inaitwa docu-sign unaweza kuitumia kuweka sign, pia nashauri uweke ile sign ya kuchanganya-changanyaOya wadau, halafu hizi barua tunazo upload ajira portal ni lazima tuzitype au tunaweza kuandika hata kwa mkono tu ?
Angalia hy post ya kazi ipo kwa lugha gan, kama ni Kiswahili bc barua andika kwa kiswahili, kama ni English bc barua andika kwa English.Kwanza hizi barua ni kwa lugha gani tunaandika mbona matangaxo yako kwa kiswahili
Nilikutukana.? Kukuambia ukweli ndio kukutukana.? Em copy & paste Hiyo comment yangu Nione hilo tusi. Kuna mambo ww kama kijana/mtu mzima ni lazima uyajue hata kwa kutumia akili za watoto sio kila kitu ufundishwe, mbona mapenzi mnajua bila kufundishwa.Mimi kuna uzi nilikwambia unajikuta mjuaji na una ego sana ukaishia kunitukana ogopa sana mtu baki akwambie haya
Sasa mfano hapo ulishindwa vipi kumjibu vizuri tu ngonjera zote za nini?
Be humble there is always a bigger fish than you
Thanks bro👍Nakushauri fanya typing ila kwenye sign weka kwa mkono. Kama utafanya typing kwenye simu bc kuna app inaitwa docu-sign unaweza kuitumia kuweka sign, pia nashauri uweke ile sign ya kuchanganya-changanya