Recent content by AZIMIO

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Asanteni sana kwa kutujuza mimi sjui nipo Dunia gani ndio kwanza mnanifumbua macho ama kweli Dunia sasa ni kijiji.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya

    Nenda pale strategis Insurance watakusaidia wapo osterbay opp na maisha club.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkeo anajivunia nini juu yako?

    Anajivunia umri nilionao
  4. A

    JamiiForums Tanzania To all married men,nini kilikufanya umchague yeye kuwa mkeo?

    Kwa upande wangu wa kwangu alikuwa muhudumu wa Bar Fulani vile alivyokuwa ananihudumia kila ninapoenda pale alinifanya nianze kumpenda mwishowe nikamueleza ukweli mpaka leo tupo pamoja.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

    You made my day!lol!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuzuia Pikipiki kuingia mjini lifanyike kwa ustadi

    Tatizo lenu mkiambiwa weka pembeni (mnakula kona) mnakimbia.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Daaah!story yako tamu lakini inasikitisha kutokana na janga ulilonalo. Ushauri mpotezee huyo demu ludi kwa mkeo muelezee wapi ulkosea na huna nia tena yakurudia hilo kosa. ililitakalo tokea mkeo awe upande wako.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni perfomance ipi ya msanii iliyokufurahisha zaid kwenye usiku wa tuzo za killi music awards?

    Sebene la Twanga na la Extra bongo,ambapo extra bongo walifunika.
  9. A

    JamiiForums Tanzania TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

    Asante sana Mtambuzi haya ndio mambo yanatakiwa kupostiwa humu jamvini mtu unasoma unaelimika.safi sana nilikuwa nasikia tu hizi habar leo kupitia kwako nimetambua kwa kirefu zaidi.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wenye wachumba sekondari na vyuoni jiandaeni kisaikolojia

    Mtoa mada umegusa sana,naomba usinikumbushe yaliyonikuta miaka kumi na moja iliyopita nilikuwa na binti mmoja tumeanza nae mahusiano nae tangu akiwa fomu one,niljitahidi kumhudumia kila kitu,simu alikuwa halali kama hajasikia sauti yangu.alipojiunga chuo kikuu hapo UDSM mambo yakanza kubadilika...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya uume

    Ukwaju unatisha
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hafahamu mzunguko wake wa mwezi

    Asante kwa ushauri tutauzingatia
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mtaji milion 3.

    Tafuta sehemu nzuri ufungue genge duka linalipa sana kama utakuwa umelenga mahali pazuri.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hospitali za binafsi zinazokubali wanachama wa NHIF

    Hospitali kwa Dar ni nyingi sana mfano ,Regency,TMJ,Mission mikochen,Tumaini,Kinondoni,Mikumi Hospital kwa uchache haijalishi una kadi gani maana matibabu ni yale yale kwa kiwango kile kile.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Duuh! Mzizi mkavu uko juu sana,Kweli JF ni kila kitu.
Back
Top Bottom