Recent content by Azaria Daudi

  1. A

    JamiiForums Tanzania MWENYE NAMBA YA TCU ANISAIDIE

    bro samahan iv ukitaka kusoma degree mwaka mwingne inabidi usiapply kabisa mpaka huo mwaka? MF mm nmemalza mwaka huu diploma ila namaan nsiapply kabsa mpaka mwaka kesho ambapo ndo nataka niendelee kusoma?
  2. A

    JamiiForums Tanzania C+E(3+1)=4, Jamani hizi zinakuwezesha kuchukua degree usiwe na mashaka

    samahan bro iv kama unataka kusoma degree mwak mwingne inabidi usiapply kabisa mpaka huo mwaka utakaotaka kusoma MF mm nmemalza mwak huu diploma nataka kusoma mwaka kesho INA maana nisiapply mpaka mwaka kesho?
  3. A

    JamiiForums Tanzania C+E(3+1)=4, Jamani hizi zinakuwezesha kuchukua degree usiwe na mashaka

    samahan bro swali nje ya mada hvi uktaka kusoma degree mwaka mwingine inabidi usiapply kabisa mpaka mwak huo utakaotaka kusoma mf mm nmemalz diploma mwk huu nataka nisome degree mwk kesho?
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mm natafuta wimbo flani wa kusifu sijui ni sebene wanaimba "huyu Mungu ni baba", sijui jina LA wimbo wala waimbaj naomba anisaidie mwenye kujua
  5. A

    JamiiForums Tanzania Guide book inasemaje kuhusu diploma holders!

    OK bro mf mm nmemalz mwaka huu ila cjaomba kabsa na vigezo vya GPA ninavyo hvo nisiombe kabisa nitaomba mwk kesho nikianz kusoma nianz kila kitu upya et, maana yake si watanidahl kw vigezo vya mwaka huu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Guide book inasemaje kuhusu diploma holders!

    iv bro mtu akiahrisha kusoma akasema atasoma mwak mwingine af huo mwak vigezo vikawa vimebadilk, ina maan yey atakosa chuo au atadahliw kulingana na mwak wake ambapo alkuwa na vigezo mf GPA ikibadilka?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu alipo malaika aliyepewa jukumu la kulinda bustani ya Edeni

    bustani ya edeni ni wapi kwa dunia ya sasa,? alafu kama bustani ya edeni iliharibiwa na gharika, vipi mti wa uzima wa milele nao uliharibiwa, maana malaika waliwekwa kulinda njia iendayo kwenye mti wa uzima wa milele nao uliharibiwa?
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Nkana FC, Walter Bwalya ni mchezaji sahihi kwa Msimbazi

    Hahaa
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msuva

    Hahaa au sio brother
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kuwa na wenye elimu ya PhD wengi duniani

    Lakini hizi data ni za mwaka 2014 si ndiyo?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupanga matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne katika madaraja(divisions)

    Naomba nitajie grade za o level za sasa yan kuanzia A mpaka F
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sijafanya masomo matatu ambayo ni history, kiswahili, english nikiwa kama Private candidate (PC). Je yataleta athari?

    Samahani mkuu swali liko nje ya mada grade za sasa za o level zikoje yan A ni ngap mpaka hadi F
  13. A

    JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wetu wa shule vipi?

    OK nashukuru
Back
Top Bottom