SENZANGAKONA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 279
- 215
Kesho ujilete ofisini kwangu mwenyewe nimeshakufahamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie akojoe akalale!Naona umetoka kapa mkuu
Ataje na majina yake yote matatu, hahahaaaaKesho ujilete ofisini kwangu mwenyewe nimeshakugahamu
Kwa maelezo uliyoyaandika ni ushahidi tosha hujaelewa maana iliyo nyuma ya uzi huu.Haya nayo mpk uje ufungue uzi jf? Umeshindwa kumface huyo H.O.S wenu?
By the way siku hizi hakuna wakuu wa shule kuna wasimamizi wa shule....Wakuu wa shule walikuwa enzi hizo bana mtu anaongoza taasisi km Mkwawa,Umbwe,Tosa,Tambaza,Minaki Pugu,Bagamoyo,Mzumbe,Mbeya Tech,Mosh Tech,Mtwara Tech huko, Utamfananisha na Mkuu wa Majani ya Chai sekondari sijui Msongola sec sijui Namanyele day ss hahahahahaaa
Samahani mkuu swali liko nje ya mada , grade za sasa za o level zikoje yan A ni ngap mpaka ngap had FBora bodi ya shule ingehusishwa katika suspension hizo,na sio suspension in such anawasuspend kabisa wanafunzi hata kwa makosa madogo tu na hakuna wa kumuuliza na hachukuliwi hatua sijui kwann!
Kesho huend kufungua madarasa mapya?Kesho ujilete ofisini kwangu mwenyewe nimeshakufahamu
Too much is harmful mkuu! Basi hawa walimu wengine wafutwe kazi wote abaki yeye tu au wafutwe madaraka yao,ingefaa makamu wa shule akae sehemu yake,mwl wa ulinzi,mwl wa afya,mwl wa miradi nk wote wafanye kazi zao kwa Uhuru km kuna sehemu ya kuongea,kuonya nk ahusike mwny kitengomtu akitimiza wajibu wake anaitwa mnoko
akizembea ana itwa jipu
Hakika mkuu! Zamani tulikua na raha sana hapa kipindi nahamia nilikuta wanafnz wanalala mazngira mazuri,kula vizuri,vitabu vipo,meza,vifaa vya kujifunzia na kufundishia,kemikali za maabara nk ambapo niliambiwa wahisani walikuja Mara kwa Mara kuleta kemikali na vifaa lakini sahivi hatuoni mpaka majaribio tunaanza kufanya kwa maneno(theory)[emoji26] [emoji26] sijui kapatwa na nn jamanii!Na matokeo ya mitihani si pia unashuhudia jinsi shule inavyodorora?
Hata wanaotaka kuja na kuweka pesa zao ili maendeleo yawe mazuri zaidi wanaghairi, na waliopo wanafunga virago, maana mwalimu mkuu haeleweki ati!
Mmmmh!Mkuu wa shule akijichimbia ofisini maneno,akisema hataki mwaliko/safari mnasema mkuu anaogopa kwenda kwenye shule Za jirani kwa sababu ya hajui lugha ya malkia. Mwalimu mkuu akisafiri mnasema anazurura tu bora amtume mwalimu wa taalum. Ebu tumuache mwalimu mkuu afanye kazi maana ata sisi wanafunzi hatujui tunachotaka mwalimu afanye
Mkuu umejiandaa kujiteka?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante Mkuu ila muda si mrefu ntakua sipatikan !!
Aisee,yaani tumewaza kitu kimojaKimya chako kitatusikitisha sana, nini kitakusibu mkuu au unapanga kujiteka?
Mmmh! Wenye mamlaka ni waajiri wake sio sisiMpigeni chini
Sifahamiani nae,mwambie anitafute tubadilishane mawazo likizo hiihio shule ndio anayosoma Beira boy bila shaka
[emoji15] [emoji15]Kesho ujilete ofisini kwangu mwenyewe nimeshakufahamu
Mmmh! Zimebadilika Mara kwa Mara mpaka sielewi hebu angalia kwenye wavuti wa wizara,nimekupa vigezo vya kwenda advance kesho usijeuliza tenaSamahani mkuu swali liko nje ya mada , grade za sasa za o level zikoje yan A ni ngap mpaka ngap had F
OK nashukuruMmmh! Zimebadilika Mara kwa Mara mpaka sielewi hebu angalia kwenye wavuti wa wizara,nimekupa vigezo vya kwenda advance kesho usijeuliza tenaView attachment 726038View attachment 726039
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mawe masumbufu sana. Yanashangaza!Mwalimu mkuu ni jiwe tena jiwe kweli kweli.
Jiwe ni kiumbe kisicho na uhai sitarajii aelewe ashauriwacho.