Recent content by ayoub

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    kwani huyo mchumba wako unazikwa nae? nilichogundua hapo we unaogopa kuachwa,lakin hakuna kitu kizuri dunian kama kuishi na amani moyoni, jitahidi kumuandalia mazingiria ya kumueleza ukweli. Bora umuweke huru sasa hivi kuliko kusubiri hadi ndoa halafu akajua kupitia watu wengine
  2. A

    JamiiForums Tanzania Am so lonely

    jitahid kufanya unachokipenda itakupunguzia hiyo hali,
  3. A

    JamiiForums Tanzania JKT watangaza nafasi za kujitolea

    Mbona hl tangazo cjaliona kwa tovuti yao
  4. A

    JamiiForums Tanzania JKT watangaza nafasi za kujitolea

    Hiv jaman kuna ukweli wa tangsxo hili? Isjekua bongo dslam
  5. A

    JamiiForums Tanzania laugh out loud loooooool

    duh asee hizi ni kali sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

    duh hii tyt kidogo,but inaisha tu,jiamin na kueleza kila alichokiwa anakufanyia,na pia utamaduni wetu hauruhusu mwanamke kukaa uchi kiasi hicho maana anamtia mwanaume majaribuni,inawezekana huyo binti aliona ni kitu cha kaqwaida tu but nae anatakiwa a be held responsible,nae asimamishwe...
  7. A

  8. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kunyimwa msosi msibani...

    duhhhh,,iyo noma sana,,yaani mbavu sina,jamaa anaomba kufiwa?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Eti wanawake wa bongo hawajui .......

    siwezi kusema ndio au hapana,kwa sababu yasemwayo yapo,,ila nachoweza kusema ni kwamba wapo wanawake wa aina hiyo,na pia wapo wenye hela na wanoweza kutatua matatizo yao na bado wakawa na heshima ndani ya nyumba,na anaefanya hivo ni limbukeni,,inabid ukimuoa umueleze ukweli na uwe na msimamo ili...
  10. A

    JamiiForums Tanzania nijulisheni

    taking sometime to find
Back
Top Bottom