Recent content by Ayasanda

  1. A

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kufungwa na Al Masry

    Choyo tu:D:D
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kufungwa na Al Masry

    Watanzania tunajua sana. Hakuna hata cha maana hapa. Tunayoijua Simba kuna improvement kubwa!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni anayejua anijuze, mfupa wangu wa mkono uliovunjika umegoma kuunga

    Epuka na ngono pia utapona mapema
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Masaki na Oysterbay zimechoka mno, haziendani na hadhi yake na zinafedhehesha

    Kuweni wavumilivu na sisi wa Buza tujengewe kwanza.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

    Wakuu tupo Morogoro na train yetu pendwa ya SGR ila ni mateso. Kabla ya kufika Morogoro tulisimama kama saa zima kwa kisingizio kuwa wanabadili njia. Tumefika Morogoro mpaka sasa tuna dakika 20 bila kuambiwa chochote. Immediate action zinatakiwa kuchuliwa ili kunusuru ufanisi wa train yetu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Issue ya handsome men kutokea Kenya imekaaje?

    Sisi sio mashoga Bro.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Jifunze kushukuru Mungu kabla ya kuwa mjivuni!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Hivi kweli tumekuwa wa kushangilia vita bila kujali madhara yake.Africa tuna shida kubwa sana aisee
  9. A

    JamiiForums Tanzania Profesa Godius Kahyarara: Awamu ya 6 imeingiza dola bilioni 21

    Wewe si umeisha std vii wewe!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya maeneo ya Luguruni, Ubungo

    Be fair brother.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya wamachinga, malori Kariakoo ni shida mpya

    Tafuta hela na wewe usisumbuliwe
  12. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Godwin Aswile (Scania)

    Very disappointing answer.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kila la heri wanafunzi wa Darasa la Nne

    All the best watoto wote.Tuache ubinafsi wa kuwatakia mtihani mwema watoto mnaowajua tu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwako Barbara Gonzalez; Mwijaku hatufai kuwa Muhamasishaji

    N Wacha majungu wewe!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nimeota Nafanya Ngono na Dada angu Tumbo moja

    Maliza kabisa ujue moja
Back
Top Bottom