Huyu ndio Godwin Aswile (Scania)

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,783
257412746_398369168698854_1878687417199519039_n.jpg


Godwin Aswile Mulimba
Beki wa kati aliyepata sifa kubwa kutokana na uchezaji wake wa kutumia nguvu na akili kwa pamoja huku akiziba vizuri makosa ya mabeki wake wapembeni pindi inapotokea wamepitwa katika kipindi chake cha uchezaji aliweza kuisaidia Yanga ubingwa wa Tanzania mwaka 1993

ZAMA ZAKE AKICHEZEA YANGA SC​

BEKI wa Yanga SC, Godwin Aswile Mulimba ‘Scania’ (kushoto) akiingiza mguu kuondosha mpira kwenye himaya ya mchezaji wa Kurugenzi Dodoma katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1988 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1.


Screenshot_20211114-135217_Chrome.jpg
 
Huyu jamaa alikuwa kitasa cha ukweli, kwanza alikuwA na kifua kikubwa, msuli ulio shiba na mapafu ya mbwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom