Recent content by Axel Norid

  1. Axel Norid

    Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

    Huku saa 8 wamekata.....😵
  2. Axel Norid

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Inategemea na situation. Me hii kauli naichukulia fresh tu kama ambavyo me hufanya kwa wengine. Mimi ikiwa ninazungumza na rafiki na nikapigiwa simu ya kazini, huwa kawaida nitamwambia rafiki yangu. "samahani, naona kazini wanapiga simu, ngoja niwasikilize kisha nakurudia". ama "oya kuna...
  3. Axel Norid

    Tafakuri ya leo kuhusu herufi

    "W" kuiita "daliyuuu" sijapenda ungeita hata "dabaliu" basi ningekuelewa. 😒 Hii unatamkwa "dabo`l yu" au tuseme ni "double U" By the way nilikua nakacha vipindi vya kiingereza 🚬😎
  4. Axel Norid

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    kila mechi ina pressure yake, style ya uchezaji kwa timu pinzani inakua tofauti, strategy tofauti na Psychology bila kusahau ubora wa timu na hata mazingira ya mechi inakua tofauti. Sasa kwa mechi ya PSG tulikua mbele ya goal mbili kwa aggregate, ilikua tunahitaji kushambulia kwasabab Kila goal...
  5. Axel Norid

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nipo Bayern Munich kwasasa sitaki ujinga 😎
  6. Axel Norid

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nimehamia Bayern Munich 😎 au Kuna shida me kuhamia Bayern?
  7. Axel Norid

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mashabiki wa Barcelona Leo tupo Man City
  8. Axel Norid

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Kitendo cha Xavi kumtoa Lamine Yamal mapema vile sitokuja kumsamehe kamwe Ok nipo Man City kwa muda ☺️ sasa ole wake na wao wazingue
  9. Axel Norid

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    Sorry to say this but natamani nipate mke kama wako....mimi huyo tutakaa hata mwaka manaake me pia hisia za sex ziko mbali sana...huwa kusex na mpenzi wangu mpaka anzishe utata au ninuniwe ndo nashtuka kumbe kitambo hatujasex 😂......yan kwangu vise versa....huyo tunafanana aisee...lakin kwangu...
  10. Axel Norid

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mtu anaweka over 1.5 au over 2.5 karibu mechi 20 au over 1.5 first half mechi 30 mpaka 50 kwa pamoja 😂😂 hivi kweli kabisa halafu mkeka utick ✅ Kusema kweli matreni au kuweka option zenye odd kubwa kwa mechi nyingi kwa pamoja....hii lazima itakua ngumu humu kushinda au kwa mwaka mara Moja bcoz...
  11. Axel Norid

    China ana safari kubwa sana mpaka kuipita Marekani kiuchumi

    Kwanza umeongea kishabiki sana lakin baada ungeleta ushabiki Tanzania na USA ukaachana na China ambaye yupo mbali kiuchumi....angalia Tanzania ili upate uchungu kwasabab hata wewe ukipata uchungu enough unaweza kuanza kufanya mabadiliko kwa kufanya shughuli zenye kuweza kuongeza Hiyo GDP...japo...
  12. Axel Norid

    Hivi ni kwaninni kuwasiliana na michepuko ni kutamu zaidi na kunanoga?

    Hata main chick wako, sijuo mke wako...naye kwa mwanaume mwingine sauti yake ni tamu, inabembeleza, inajali and so many others....subiri ugundue mchumba/mke wako anavyonyegesha kwa jamaa mwingine ndo utaelewa mambo yanavyokwenda
Back
Top Bottom