Recent content by Awo

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Comeback African carriers will need deep pockets, smart business strategies to thrive

    Liked the analysis.
  2. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    “Hivi punde” ndio saa ngapi?
  3. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Haya, tunasubiri.
  4. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna tatizo gani Mbezi Beach B umeme hakuna tangu saa 5 asubuhi na haujarudi mpaka sasa?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rais Mugabe amvaa Trump

    Wakati Trump anahutubia yeye alikuwa ameuchapa usingizi!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya muswada wa madini kupita, serikali yatangaza kuanza mazungumzo rasmi na Acacia

    Wamekuwa makini tu maana mazungumzo ya kiuungwana yakishindana then they got their a**** covered by the legal proceedings.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya muswada wa madini kupita, serikali yatangaza kuanza mazungumzo rasmi na Acacia

    Bosi, mazungumzo aliyozungumzia Rais bado hayajaanza. ACACIA na subsudiary zake za Bulyanhulu na Pangea wametoa notisi ya arbitration kwa serikali chini ya mikataba waliyojiwekea. ACACIA wako tayari kwa mazungumzo na watashiriakana na BARRICK kuona mazungumzo yanafaniliwa. Lakini kwa sasa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya muswada wa madini kupita, serikali yatangaza kuanza mazungumzo rasmi na Acacia

    Hii si ni notice ya arbitration? Ndivyo kesi kwenye mahakama za kimataifa zinavyoaanza. Acacia wanakusudia kufungua kesi huko kama mazungumzo yasipozaa matunda kwa upande wao.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azitaka NGO’s kufungua shule za wenye mimba kama zinawapenda

    Yote haya yanafanyika - bado watoto chini ya miaka 18 wanapata mimba kabla ya kumaliza shule. Unafanyaje?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumemuondoa Bi. Awa Dabo wa UNDP kwa kutokuwa na Maelewano na watendaji ofisini kwake

    Mange was right, once again!!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo usikatae uteuzi, kajenge nchi

    Si jana tu alikuwa anatetea haki ya kuwakilisha EALA?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais Wangu Magufuli: Makonda Ulimtengeneza Alengwe - Wape Ushindi Wao...

    Keshasema haambiwi cha kufanya - haitaji advisory anybody. Urais ni wake, ataamua atakavyo. Labda tujiulize - ni nani role model wake?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli siasa si uadui, Una kifua kweli?

    Wakristo, baada ya Agano Jipya, wana sheria moja tu -"Mpende jirani yako kama mimi (Yesu) nilivyowapenda ninyi". Sasa wapinzani wetu wa kisiasa ni majirani zetu. Na ili maombi yetu mbele ya Mungu yafanikiwe, ni lazima kwanza tuwe tumepatana na jirani (kama tumekosana). Sasa sijui - huu ukristo -...
  14. A

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Nimependa unavyotumia "CCM" na "Serikali" interchangeably. Maana yake ni moja tu; unaamini kuwa madude hayo mawili ni kitu kimoja.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Chadema hamna matatizo mengine, ukiacha Makonda?

    Mheshimwa Msukuma kumbe na yeye ni CHADEMA. Ama kweli njaa mbaya.
Back
Top Bottom