Mange was right, once again!!Taarifa hii inachanganya zaidi.Kuna uwezekano hao watumishi wenzake ndio wenye matatizo.Nadhani jukumu la kutathmini nani anafaa kuitumikia UNDP ulitakiwa ufanywe na UN baada ya kufanya uchunguzi wao.
Mkuu hataki kukosolewa hata kidogoKazi kwelikweli, tutajionea mengi kwenye utawala huu.
Tumeanza kugusa ata mashirika ya umoja wa Mataifa ? Hatari sana
UN siyo sawa na serikali ya kijiji watakuja na ripoti yao na kila kitu kotawekwa wazi.kwahiyo kama kuna blanda imechozwa ni suala la muda tu kabla ya kila kitu kuwa wazi.Good! Serikali lazima ionyeshe mamlaka yake
ni raia wa wapi huyo mtu?Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi kuhusu Serikali kumuondoa nchini, Mkurugenzi wa UNDP, Bi. Awa Dabo.
View attachment 500912