Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?