Baada ya muswada wa madini kupita, serikali yatangaza kuanza mazungumzo rasmi na Acacia

ruby garnet

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
2,860
3,810
Kutokana na ujio wa mwenyekiti wa barrick siku chache zilizopita na kukubaliana na rais magufuli kuunda tume ya kujadiliana ili kutatua swala hili la makinikia.

Serikali imewaalika rasmi Barrick kwa kuanza mazungumuzo hayo.

Pamoja na hayo Acacia wamesema mazungumzo yeyote yale yatakayofikiwa kati ya serikali na Barrick lazima Acacia ayabariki na hata hivyo amesema atatoa ushirikiano kwa Barrick katika kutatua mzozo huu.

upload_2017-7-4_15-4-25.png

 
hili uwe mzalendo inabidi ukae na wezi kweli kila mtanzania anajua hao jamaa wemetuibia inakuaje tuingienao mazungumzo au hile report imetudanganya
 
Hii si ni notice ya arbitration? Ndivyo kesi kwenye mahakama za kimataifa zinavyoaanza. Acacia wanakusudia kufungua kesi huko kama mazungumzo yasipozaa matunda kwa upande wao.
ndiyo tutegemee hivyo.
kama hakuna mwafaka mahakama ndiyo kifuatacho.
 
nimeona katika hiyo barua , ya accacia wao hawapo ktk mazungumzo bali Barrick Gold Mines .
ndiyo acacia hawapo but mazungumuzo hayo lazima acacia ayakubari. asipoyakubari acacia hapo hakuna la maana
 
Back
Top Bottom