Recent content by AWADHYOMARY

  1. AWADHYOMARY

    Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

    Je huyo mkeo hatumii jamii forum? Kama anatumia hesabu umekwisha
  2. AWADHYOMARY

    CHADEMA yalaani Shambulio Dhidi ya Dkt Kitima

    Hili jambo chadema wanahusika.kwanini wao wamepata kama mtaji?
  3. AWADHYOMARY

    Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

    Wakatoliki ni watu hatari sana.Rais asipokuwa mkatoliki hawaridhiki kabisa
  4. AWADHYOMARY

    PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

    Jamaa kila akikamatwa anakuja .kuongea na Wanachadema wenzake.
  5. AWADHYOMARY

    Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

    Acheni chuki mbona Rais Magufuli alikuwa anatoa hutuba kanisani?
  6. AWADHYOMARY

    Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

    Sababu kuu iliyopelekea uichukie mafia ni hiyo number 11,hizo nyingine ni zuga tu
  7. AWADHYOMARY

    Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

    Mbona wewe hujaenda kuandamana ?
  8. AWADHYOMARY

    Yanayotokea Bungeni Sakata la Gambo na Mchengerwa Linadhihirisha Umuhimu wa Kuepuka Teuzi za Kifamilia

    Mtoa mada anachuki za hovyo sana na Mchengerwa kwani hapo kuna uhusiano gani na report ya Mchengerwa? Mbona Mrisho gambo mwenyewe amekiri amedanganya na kuomba radhi? Au wewe ni mke wa gambo?
  9. AWADHYOMARY

    Peter Kibatala ni Wakili au Mwanaharakati?

    Wewe jamaa ni mtaalamu sana kuliko hao vilaza
  10. AWADHYOMARY

    Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

    Sasa hizo hisia zako waleta huku kweli?
  11. AWADHYOMARY

    TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

    Hizo ni propaganda tu ukweli wakatoliki hawawezi kuwaonea huruma jamii za kiislam
Back
Top Bottom