gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,285
- 17,756
Vishangingi hivyo,lengo viharibu kimataifaHaya
Siku hizi lugha ya mawasiliano ni kizungu?
Au Jon Mrema kimombo ilikuwa zero 😂
Vishangingi hivyo,lengo viharibu kimataifaHaya
Siku hizi lugha ya mawasiliano ni kizungu?
Au Jon Mrema kimombo ilikuwa zero 😂
Chadema inataka akina Msukuma, Lusinde, Maganga, UWT na UVCCM wasielewe.Haya
Siku hizi lugha ya mawasiliano ni kizungu
Mauaji ya mwembechai na kule pemba walitoa tamko?Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimelaani Shambulio la kupangwa dhidi ya Katibu wa TEC Father Charles Kitima lililokusudia kutoa Uhai wake.
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hili hapa
View attachment 3321681
Soma pia News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Wazungu wamesoma na ni mada kwenye Uchaguzi wa Papa, Nchi inadhalilishwa kijinga sanaVishangingi hivyo,lengo viharibu kimataifa
🤣🤣🤣🤪 Unamtisha nani!?Wazungu wamesoma na ni mada kwenye Uchaguzi wa Papa, Nchi inadhalilishwa kijinga sana
Uko nyuma sana!Mauaji ya mwembechai na kule pemba walitoa tamko?
Wazungu kupata Taarifa ni vitisho!🤣🤣🤣🤪 Unamtisha nani!?
Target audience ni international communityHaya
Siku hizi lugha ya mawasiliano ni kizungu?
Au Jon Mrema kimombo ilikuwa zero 😂
JibuUko nyuma sana!
Unavyo-sound ni kama unalitisha taifaWazungu kupata Taarifa ni vitisho!
huwezi kujilaani mwenyewe hata kama ni wewe huogopi laanaMbona CCM wameshindwa kulaani? CCM ni magaidi tupu
watakuja kwa sasa wako singida na mei mosiMbona CCM wameshindwa kulaani? CCM ni magaidi tupu
Wameenda kula pesa za ummawatakuja kwa sasa wako singida na mei mosi
ila hao watu wanatia hasira hawana hata mshipa wa aibuWameenda kula pesa za umma
Si pesa za wajingaila hao watu wanatia hasira hawana hata mshipa wa aibu
Hahaha mtapata Dhabi nyieCCM ni wahusika
chadema ni watu wa haki safari hii ibilisi lazima aaibishwe mchana kweupeHili jambo chadema wanahusika.kwanini wao wamepata kama mtaji?
Sawa.Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimelaani Shambulio la kupangwa dhidi ya Katibu wa TEC Father Charles Kitima lililokusudia kutoa Uhai wake.
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hili hapa
View attachment 3321681
Soma pia News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya