Peter Kibatala ni Wakili au Mwanaharakati?

Uliogopa nini kuandika kwa kutumia ID hii inayojulikana mpk utumie hiyo ya kificho?
Nipo hapa 20yrs. sina haja ya kuwa na ID nyingine kufikisha ujumbe wangu popote.

Naendelea na hii hii Tukana, nakutukana na hii hii, tete a tete, poa, hoja poa, sina sababu ya kuwa na ID ya kujificha
Kwa maana hiyo, mimi sio muoga.
 
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini juzi nimestushwa sana na andiko la Wakili ambaye anatajwa kuwa Mweledi sana wa Sheria Wakili Peter Kibatala,kuhusu Kesi ya Ndugu Tundu Antipas Lissu,andiko ambalo alipost kupitia mtandao wa X zamani Twitter!

Katika andiko hilo Wakili Peter Kibatala ameibua hoja kadhaa lakini mimi nataka kumpeleka "Shule" kidogo katika baadhi ya hoja zake ambazo ni wazi amejiingiza "Chaka"yeye na anataka pia kuwaingiza "Chaka" Mabalozi wa nje waliopo Tanzania pamoja na VIONGOZI WA DINI!

HOJA ZAKE KUHUSU KESI YA TUNDU LISSU ZILIKUWA HIZI HAPA👇🏿👇🏿

Anaandika Wakili Peter Kibatala 👇🏿👇🏿

1.Tomorrow 22nd April 2025,I will officially write to the Embassies of Diplomatic Corps in Tanzania inviting their Officers to attend Mr Lissu's case and witness Tanzania justice at play!

Kwa kiswahili rahisi ni kwamba Wakili Kibatala amepanga kuwandikia Mabalozi wa Nje waliopo Nchini Tanzania kuja kusikiliza KESI ya Ndugu Tundu Lissu na kuona jinsi mifumo ya Kutoa Haki ya Tanzania inavyofanya KAZI!

Majibu:
Wakili Peter Kibatala inaonekana hajui kabisa taratibu za Kimawasiliano kati ya Balozi na host Country!

Kikanuni,Raia hana mamlaka wala ruhusa ya kuwasiliana Officially na Balozi yoyote yule bila kupitia Wizara ya Mambo ya NJE na Ushirikiano wa Afrika Mashariki!Chochote atakachoandika Wakili Peter Kibatala kitakuwa hakina maana wala sio Official Communication(Viena Convention on Diplomatic Relations,1961)inaonekana Wakili Peter Kibatala haijui kabisa haya!

Pili,Viena Convention on Diplomatic Relations ya mwaka (1961) "outlines legal framework for Diplomatic mission-(I)termination of Diplomatic Relations"!

Kwa TAFSIRI rahisi ni kwamba Viena Convention kuhusu Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Nchi na Nchi,inaambatanisha majukumu(duties)ya Mabalozi katika Nchi walizopo(Host State).

Wajibu namba moja wa Balozi ni KUHESHIMU Sheria na kanuni za Nchi husika hata wakati wakitekeleza majukumu yao!Pili, Majukumu ya Balozi wa Nje hayapaswi kwa njia yoyote ile kuingilia kabisa mambo ya ndani ya Taifa husika!

Lakini nanukuu hapa"all Official business with the host State should be conducted through the Ministry of Foreign Affairs!Wakili Peter Kibatala aende akasome Viena Convention on Diplomatic Relations 1961,on Persona Non Grata!

Mwisho Wakili Peter Kibatala aende akasome kitu kinaitwa (HGO) kwa maana ya kanuni kwa Mabalozi wanapokuwa ndani ya mipaka ya Host Government!

II.Hoja ya Pili Wakili Peter anaandika👇🏿👇🏿

"I will write also to Heads of all major religion dominations and Institutions to invite for the same cause!

Majibu:
WAKILI Peter Kibatala anataka kuwaingiza Viongozi wa dini kwenye malengo ya kuitisha Mahakama ya Tanzania wakati inafanya majukumu yake!Uwepo Mahakamani wa Viongozi wa dini hauwezi kwa namna yoyote ile kupindisha Sheria za Nchi kwa maana ya kutaka kumsaidia Ndugu Tundu Antipas Lissu apate au asipate haki!Mchezo huu ambao Wakili Peter anataka kuufanya wa kuitisha Mahakama umepitwa na wakati sana!

Ni muhimu Wakili Peter Kibatala angetumia muda wake mwingi kujiandaa kumtetea ndugu Tundu Lissu na kuishawishi Mahakama ya Tanzania kuliko kukimbia jukumu hilo la Kiwakili na kujivika "Uwanaharakati" mbele ya Mahakama hivyo kushusha sana CV yake mbele ya Mahakama ya Tanzania!

Kiongozi yoyote wa dini ambaye atakwenda Mahakamani kisa Ndugu Tundu Antipas Lissu amepelekwa Mahakamani leo atatafsiriwa na Watanzania kuwa tayari ana upande wake na ana maslahi yake katika kesi hii zaidi ya yale ya upatikanaji wa HAKI mbele ya Sheria!

Sina uhakika kama Viongozi wa dini wa Nchi hii wanaweza kufanya "UPUUZI " huu ambao hawajawahi kuufanya wakati wowote wa Uhai wa Kanisa wala Uhai wa Msikiti wa Tanzania!

III.Wakili Peter Kibatala anaadika tena👇🏿👇🏿

" We want Tundu Lissu to be tried in full public view!

Majibu:Tangia lini Wakili Peter Kibatala ameanza kuishinikiza Mahakama ya Tanzania juu ya "modarity" ya kusikiliza kesi?Wakili Peter Kibatala amekuwa na kesi nyingi sana ndani ya Mahakama ya Tanzania lakini hakuna wakati wowote mahali popote amewahi kuishinikiza Mahakama kusikiliza kesi kwa mtindo wa (I) Physical Mahakamani au (II)Mahakama Mtandao ambapo kesi uendeshwa wakati mtuhumiwa yupo Magereza!

Mahakama ya Tanzania inaweza ikaona inafaa kuendesha kesi hiyo kwa mtindo wa Mahakama Mtandao!!Wakili Peter anasema jaribio kama hilo la Mahakama litakumbana na "stiff legal resistance" kutoka kwake na mteja wake!

Itoshe kusema Wakili Peter Kibatala anajua kabisa kuwa jaribio lolote la kuifanya Mahakama kuwa na "pressure" ni KOSA la kimaadili mbele ya taratibu za kiapo cha Mawakili!Anachotaka kukifanya Wakili Peter Kibatala sio tu ni ukosefu wa Maadili ya Uwakili na heshima kwa Mahakama zetu bali pia ni KOSA la Kimaadili kushinikiza/kushawishi Ushiriki wa watu waje Mahakamani

Sifa/heshima za Wakili Peter Kibatala zimeingia doa kubwa mbele ya macho ya Watanzania!

Ngoja tuone kama Mabalozi na Viongozi wa dini "watacomply" na "UNYAMBISI"huu wa viwango vya juu kabisa!
🚮
ccm imesheheni machawa wajinga mnoo, sijui huwa inawatoa wapi hawa!!!
 
Kwani nimedanganya Mkuu?

Ukija na matusi, unapata matusi. Point period blank

Ukileta kunya nakunyea tu

Situkani mtu yeyote yule anaekuja na hoja, hata kama ni ya Kijinga.

Uniparamie tu nikuache, sio mimi.
Maelezo mengi lakini hujajibu hoja yangu ya msingi ambayo ni swali, je na wewe ni mfuasi wa CDM!!??
 
Wewe ndio huna akili kwa kut0kubali kuwa Kibatali hajui S0VEREIGNITY....
Huelewi kitu wewe hivi unafahamu maana ya diplomatic immunity.
Hivi unafahamu kwamba mtu akikimbilia ubalozini na Serikali inamhitaji huyo mtu, haina mamlaka ya kuingia kwa nguvu ubalozini na kumchukua unafikiri ni kwa nini?
Ubalozi unahaki ya kuwasiliana na mtu yeyote kwenye host country bila kuingiliwa na host government.
Sasa sana serikali inachoweza kufanya ni kuvunja uhusiano na hiyo Nchi na kumfukuza balozi.
Kwa hiyo wewe mbulula kilaza wa mama unapoongelea issue ya sovereignty of the state versus embassies soma pia kitu kinachoitwa Diplomatic Immunity utaongeza ufahamu wako.
Kilaza wa Mama Mkubwa tena Fala usiyejuq mambo.
Tatizo CCM inamtaji wa mavilaza kama wewe ambao hamjui kitu mnapost mautumbo tu ya kujizalilisha na kuonyesha jinsi mlivyo tabularasa kichwani
 
Ngoja tuone kama Mabalozi na Viongozi wa dini "watacomply" na "UNYAMBISI"huu wa viwango vya juu kabisa!kaw
KAWAULIZE TLS
 
Wewe sio mwanasheria Wala diplomasia ilitosha ufungie bakuli hapo sema ukabwabwaja kutuonesha ujinga wako wote!
Sisi tulopitia hayo mambo kiasichetu hatukujibi tunakuona juajinga yaani jinga linalojidai juaji.
Kesi itafatiliwa na wote hao na ukweli utajilikana duniani poote kuwa majizi mababe yanatesa raia mwema anayedai haki za kimsingi!! Inatosha!! Ujinga mwingine uloandika kama nao...
 
Kama wewe sio mwanaharakati au mwanadiplomasia, na ukiachana na ukweli usiopingika kwamba wewe ni chawa mwandamizi hebu tuambie vizuri wewe ni nani haswaa
 
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini juzi nimestushwa sana na andiko la Wakili ambaye anatajwa kuwa Mweledi sana wa Sheria Wakili Peter Kibatala,kuhusu Kesi ya Ndugu Tundu Antipas Lissu,andiko ambalo alipost kupitia mtandao wa X zamani Twitter!

Katika andiko hilo Wakili Peter Kibatala ameibua hoja kadhaa lakini mimi nataka kumpeleka "Shule" kidogo katika baadhi ya hoja zake ambazo ni wazi amejiingiza "Chaka"yeye na anataka pia kuwaingiza "Chaka" Mabalozi wa nje waliopo Tanzania pamoja na VIONGOZI WA DINI!

HOJA ZAKE KUHUSU KESI YA TUNDU LISSU ZILIKUWA HIZI HAPA👇🏿👇🏿

Anaandika Wakili Peter Kibatala 👇🏿👇🏿

1.Tomorrow 22nd April 2025,I will officially write to the Embassies of Diplomatic Corps in Tanzania inviting their Officers to attend Mr Lissu's case and witness Tanzania justice at play!

Kwa kiswahili rahisi ni kwamba Wakili Kibatala amepanga kuwandikia Mabalozi wa Nje waliopo Nchini Tanzania kuja kusikiliza KESI ya Ndugu Tundu Lissu na kuona jinsi mifumo ya Kutoa Haki ya Tanzania inavyofanya KAZI!

Majibu:
Wakili Peter Kibatala inaonekana hajui kabisa taratibu za Kimawasiliano kati ya Balozi na host Country!

Kikanuni,Raia hana mamlaka wala ruhusa ya kuwasiliana Officially na Balozi yoyote yule bila kupitia Wizara ya Mambo ya NJE na Ushirikiano wa Afrika Mashariki!Chochote atakachoandika Wakili Peter Kibatala kitakuwa hakina maana wala sio Official Communication(Viena Convention on Diplomatic Relations,1961)inaonekana Wakili Peter Kibatala haijui kabisa haya!

Pili,Viena Convention on Diplomatic Relations ya mwaka (1961) "outlines legal framework for Diplomatic mission-(I)termination of Diplomatic Relations"!

Kwa TAFSIRI rahisi ni kwamba Viena Convention kuhusu Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Nchi na Nchi,inaambatanisha majukumu(duties)ya Mabalozi katika Nchi walizopo(Host State).

Wajibu namba moja wa Balozi ni KUHESHIMU Sheria na kanuni za Nchi husika hata wakati wakitekeleza majukumu yao!Pili, Majukumu ya Balozi wa Nje hayapaswi kwa njia yoyote ile kuingilia kabisa mambo ya ndani ya Taifa husika!

Lakini nanukuu hapa"all Official business with the host State should be conducted through the Ministry of Foreign Affairs!Wakili Peter Kibatala aende akasome Viena Convention on Diplomatic Relations 1961,on Persona Non Grata!

Mwisho Wakili Peter Kibatala aende akasome kitu kinaitwa (HGO) kwa maana ya kanuni kwa Mabalozi wanapokuwa ndani ya mipaka ya Host Government!

II.Hoja ya Pili Wakili Peter anaandika👇🏿👇🏿

"I will write also to Heads of all major religion dominations and Institutions to invite for the same cause!

Majibu:
WAKILI Peter Kibatala anataka kuwaingiza Viongozi wa dini kwenye malengo ya kuitisha Mahakama ya Tanzania wakati inafanya majukumu yake!Uwepo Mahakamani wa Viongozi wa dini hauwezi kwa namna yoyote ile kupindisha Sheria za Nchi kwa maana ya kutaka kumsaidia Ndugu Tundu Antipas Lissu apate au asipate haki!Mchezo huu ambao Wakili Peter anataka kuufanya wa kuitisha Mahakama umepitwa na wakati sana!

Ni muhimu Wakili Peter Kibatala angetumia muda wake mwingi kujiandaa kumtetea ndugu Tundu Lissu na kuishawishi Mahakama ya Tanzania kuliko kukimbia jukumu hilo la Kiwakili na kujivika "Uwanaharakati" mbele ya Mahakama hivyo kushusha sana CV yake mbele ya Mahakama ya Tanzania!

Kiongozi yoyote wa dini ambaye atakwenda Mahakamani kisa Ndugu Tundu Antipas Lissu amepelekwa Mahakamani leo atatafsiriwa na Watanzania kuwa tayari ana upande wake na ana maslahi yake katika kesi hii zaidi ya yale ya upatikanaji wa HAKI mbele ya Sheria!

Sina uhakika kama Viongozi wa dini wa Nchi hii wanaweza kufanya "UPUUZI " huu ambao hawajawahi kuufanya wakati wowote wa Uhai wa Kanisa wala Uhai wa Msikiti wa Tanzania!

III.Wakili Peter Kibatala anaadika tena👇🏿👇🏿

" We want Tundu Lissu to be tried in full public view!

Majibu:Tangia lini Wakili Peter Kibatala ameanza kuishinikiza Mahakama ya Tanzania juu ya "modarity" ya kusikiliza kesi?Wakili Peter Kibatala amekuwa na kesi nyingi sana ndani ya Mahakama ya Tanzania lakini hakuna wakati wowote mahali popote amewahi kuishinikiza Mahakama kusikiliza kesi kwa mtindo wa (I) Physical Mahakamani au (II)Mahakama Mtandao ambapo kesi uendeshwa wakati mtuhumiwa yupo Magereza!

Mahakama ya Tanzania inaweza ikaona inafaa kuendesha kesi hiyo kwa mtindo wa Mahakama Mtandao!!Wakili Peter anasema jaribio kama hilo la Mahakama litakumbana na "stiff legal resistance" kutoka kwake na mteja wake!

Itoshe kusema Wakili Peter Kibatala anajua kabisa kuwa jaribio lolote la kuifanya Mahakama kuwa na "pressure" ni KOSA la kimaadili mbele ya taratibu za kiapo cha Mawakili!Anachotaka kukifanya Wakili Peter Kibatala sio tu ni ukosefu wa Maadili ya Uwakili na heshima kwa Mahakama zetu bali pia ni KOSA la Kimaadili kushinikiza/kushawishi Ushiriki wa watu waje Mahakamani

Sifa/heshima za Wakili Peter Kibatala zimeingia doa kubwa mbele ya macho ya Watanzania!

Ngoja tuone kama Mabalozi na Viongozi wa dini "watacomply" na "UNYAMBISI"huu wa viwango vya juu kabisa!
ANA MKE, TAFUTA MCHEPUKO MWINGINE, UENDELEE KUFUMULIWA MARINDA.
 
Ila hii inchi kwakweli kama ndo hizi akili tulizonazo kwenye hili taifa hakika tutaendelea kulia na kusaga menom
 
Huelewi kitu wewe hivi unafahamu maana ya diplomatic immunity.
Hivi unafahamu kwamba mtu akikimbilia ubalozini na Serikali inamhitaji huyo mtu, haina mamlaka ya kuingia kwa nguvu ubalozini na kumchukua unafikiri ni kwa nini?
Ubalozi unahaki ya kuwasiliana na mtu yeyote kwenye host country bila kuingiliwa na host government.
Sasa sana serikali inachoweza kufanya ni kuvunja uhusiano na hiyo Nchi na kumfukuza balozi.
Kwa hiyo wewe mbulula kilaza wa mama unapoongelea issue ya sovereignty of the state versus embassies soma pia kitu kinachoitwa Diplomatic Immunity utaongeza ufahamu wako.
Kilaza wa Mama Mkubwa tena Fala usiyejuq mambo.
Tatizo CCM inamtaji wa mavilaza kama wewe ambao hamjui kitu mnapost mautumbo tu ya kujizalilisha na kuonyesha jinsi mlivyo tabularasa kichwani
Hyo D' immunity anay0 wakili Kibatala katika suala hili husika ?!!
 
Ubalozi una diplomatic immunity Serikali haiwezi kuukataza ubalozi usiwasiliane na mtu yeyote hadi apitie wizara ya Mambo ya nje.
Kwa hiyo mtu yeyote anaweza kuwasiliana na balozi yeyote bila kupitia serikalini na Serikali haipaswi kuingilia kwamba ubalozi usipokee barua yeyote kama haijapitia wizara ya Mambo ya nje.
Aiseee we jamaa ni kilaza sana kichwa kimejaa maji na mapambio ya mitano tena pumbavu mkubwa
 
Ubalozi una diplomatic immunity Serikali haiwezi kuukataza ubalozi usiwasiliane na mtu yeyote hadi apitie wizara ya Mambo ya nje.
Kwa hiyo mtu yeyote anaweza kuwasiliana na balozi yeyote bila kupitia serikalini na Serikali haipaswi kuingilia kwamba ubalozi usipokee barua yeyote kama haijapitia wizara ya Mambo ya nje.
Aiseee we jamaa ni kilaza sana kichwa jimejaa maji na mapambio ya mitani tena pumbavu mkubwa
Unaitaja hyo D' immunity kana kwamba haina utaratibu wowote ule.....

Kesi ni ya jinai dhidi ya d0la... kas0me mawanda ya usemacho katika "scenario" hz0...
 
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini juzi nimestushwa sana na andiko la Wakili ambaye anatajwa kuwa Mweledi sana wa Sheria Wakili Peter Kibatala,kuhusu Kesi ya Ndugu Tundu Antipas Lissu,andiko ambalo alipost kupitia mtandao wa X zamani Twitter!

Katika andiko hilo Wakili Peter Kibatala ameibua hoja kadhaa lakini mimi nataka kumpeleka "Shule" kidogo katika baadhi ya hoja zake ambazo ni wazi amejiingiza "Chaka"yeye na anataka pia kuwaingiza "Chaka" Mabalozi wa nje waliopo Tanzania pamoja na VIONGOZI WA DINI!

HOJA ZAKE KUHUSU KESI YA TUNDU LISSU ZILIKUWA HIZI HAPA👇🏿👇🏿

Anaandika Wakili Peter Kibatala 👇🏿👇🏿

1.Tomorrow 22nd April 2025,I will officially write to the Embassies of Diplomatic Corps in Tanzania inviting their Officers to attend Mr Lissu's case and witness Tanzania justice at play!

Kwa kiswahili rahisi ni kwamba Wakili Kibatala amepanga kuwandikia Mabalozi wa Nje waliopo Nchini Tanzania kuja kusikiliza KESI ya Ndugu Tundu Lissu na kuona jinsi mifumo ya Kutoa Haki ya Tanzania inavyofanya KAZI!

Majibu:
Wakili Peter Kibatala inaonekana hajui kabisa taratibu za Kimawasiliano kati ya Balozi na host Country!

Kikanuni,Raia hana mamlaka wala ruhusa ya kuwasiliana Officially na Balozi yoyote yule bila kupitia Wizara ya Mambo ya NJE na Ushirikiano wa Afrika Mashariki!Chochote atakachoandika Wakili Peter Kibatala kitakuwa hakina maana wala sio Official Communication(Viena Convention on Diplomatic Relations,1961)inaonekana Wakili Peter Kibatala haijui kabisa haya!

Pili,Viena Convention on Diplomatic Relations ya mwaka (1961) "outlines legal framework for Diplomatic mission-(I)termination of Diplomatic Relations"!

Kwa TAFSIRI rahisi ni kwamba Viena Convention kuhusu Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Nchi na Nchi,inaambatanisha majukumu(duties)ya Mabalozi katika Nchi walizopo(Host State).

Wajibu namba moja wa Balozi ni KUHESHIMU Sheria na kanuni za Nchi husika hata wakati wakitekeleza majukumu yao!Pili, Majukumu ya Balozi wa Nje hayapaswi kwa njia yoyote ile kuingilia kabisa mambo ya ndani ya Taifa husika!

Lakini nanukuu hapa"all Official business with the host State should be conducted through the Ministry of Foreign Affairs!Wakili Peter Kibatala aende akasome Viena Convention on Diplomatic Relations 1961,on Persona Non Grata!

Mwisho Wakili Peter Kibatala aende akasome kitu kinaitwa (HGO) kwa maana ya kanuni kwa Mabalozi wanapokuwa ndani ya mipaka ya Host Government!

II.Hoja ya Pili Wakili Peter anaandika👇🏿👇🏿

"I will write also to Heads of all major religion dominations and Institutions to invite for the same cause!

Majibu:
WAKILI Peter Kibatala anataka kuwaingiza Viongozi wa dini kwenye malengo ya kuitisha Mahakama ya Tanzania wakati inafanya majukumu yake!Uwepo Mahakamani wa Viongozi wa dini hauwezi kwa namna yoyote ile kupindisha Sheria za Nchi kwa maana ya kutaka kumsaidia Ndugu Tundu Antipas Lissu apate au asipate haki!Mchezo huu ambao Wakili Peter anataka kuufanya wa kuitisha Mahakama umepitwa na wakati sana!

Ni muhimu Wakili Peter Kibatala angetumia muda wake mwingi kujiandaa kumtetea ndugu Tundu Lissu na kuishawishi Mahakama ya Tanzania kuliko kukimbia jukumu hilo la Kiwakili na kujivika "Uwanaharakati" mbele ya Mahakama hivyo kushusha sana CV yake mbele ya Mahakama ya Tanzania!

Kiongozi yoyote wa dini ambaye atakwenda Mahakamani kisa Ndugu Tundu Antipas Lissu amepelekwa Mahakamani leo atatafsiriwa na Watanzania kuwa tayari ana upande wake na ana maslahi yake katika kesi hii zaidi ya yale ya upatikanaji wa HAKI mbele ya Sheria!

Sina uhakika kama Viongozi wa dini wa Nchi hii wanaweza kufanya "UPUUZI " huu ambao hawajawahi kuufanya wakati wowote wa Uhai wa Kanisa wala Uhai wa Msikiti wa Tanzania!

III.Wakili Peter Kibatala anaadika tena👇🏿👇🏿

" We want Tundu Lissu to be tried in full public view!

Majibu:Tangia lini Wakili Peter Kibatala ameanza kuishinikiza Mahakama ya Tanzania juu ya "modarity" ya kusikiliza kesi?Wakili Peter Kibatala amekuwa na kesi nyingi sana ndani ya Mahakama ya Tanzania lakini hakuna wakati wowote mahali popote amewahi kuishinikiza Mahakama kusikiliza kesi kwa mtindo wa (I) Physical Mahakamani au (II)Mahakama Mtandao ambapo kesi uendeshwa wakati mtuhumiwa yupo Magereza!

Mahakama ya Tanzania inaweza ikaona inafaa kuendesha kesi hiyo kwa mtindo wa Mahakama Mtandao!!Wakili Peter anasema jaribio kama hilo la Mahakama litakumbana na "stiff legal resistance" kutoka kwake na mteja wake!

Itoshe kusema Wakili Peter Kibatala anajua kabisa kuwa jaribio lolote la kuifanya Mahakama kuwa na "pressure" ni KOSA la kimaadili mbele ya taratibu za kiapo cha Mawakili!Anachotaka kukifanya Wakili Peter Kibatala sio tu ni ukosefu wa Maadili ya Uwakili na heshima kwa Mahakama zetu bali pia ni KOSA la Kimaadili kushinikiza/kushawishi Ushiriki wa watu waje Mahakamani

Sifa/heshima za Wakili Peter Kibatala zimeingia doa kubwa mbele ya macho ya Watanzania!

Ngoja tuone kama Mabalozi na Viongozi wa dini "watacomply" na "UNYAMBISI"huu wa viwango vya juu kabisa!
SIjasoma ila na hisi utakuwa Chawa Uchwara, ganga njaaa
 
Kwa hiyo huo uwakili alimpa baba yako?.
 
Back
Top Bottom