Kwa tuliokua Teens miaka ya 1990, Koffi Olomide alikua ni mwanamuziki ambaye tumesikiliza na kucheza sana nyimbo zake. Binafsi, album yake ya V12, yenye nyimbo kama Andrada, Bambino, Aspirine, Zokere n.k hadi leo nakua nazihusudu. Sahau kuhusu album ya Ultimatum, yenye nyimbo kama Loi, Papa...