TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,561
- 28,558
Msemaji mashuhuri wa serikali ya Libya wakati wa mwisho wa uongozi wa 'Comrade' M. Gaddafi (R.I.P), ndugu Moussa Ibrahim yupo hai. Ashukuriwe Mungu kwa hili. Ni mtu muhimu sana ambaye anaeleza ushahidi wa kile kilichokuwa kinatokea kabla na wakati wa kuharibu 'nguvu mpya' ya kuiunganisha Afrika ili ijikomboe kutoka kwenye makucha ya 'mabeberu', wakoloni mamboleo na mambo mengine kama haya.
Mo Ibra, amefanya mahojiano na RT hivi karibuni huko Berlin. Karibu umuone na kumsikiliza hapa.
PART ONE
PART TWO
Mo Ibra, amefanya mahojiano na RT hivi karibuni huko Berlin. Karibu umuone na kumsikiliza hapa.
PART ONE
PART TWO