Kesi ya viongozi wa CHADEMA yafika patamu! Mashahidi 200 kuitwa Mahakamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,236
Gazeti la Mwananchi,  Oktoba 19,  2019  Kupata nakala yako ya mtandaoni (E-Paper ( 791 X 640 ).jpg


Habari za chini ya Carpet zinadokeza kwamba kuna vigogo wa polisi na wengine kutoka Manispaa ya Kinondoni akiwemo mwanzisha sakata hili tayari wamepelekewa wito na mahakama .

Mungu ibariki Chadema
 
Mbowe lazima afunge na roho yake mbaya yaani watu 200 wafe kwa ajiri ya Mbunge mmoja kushinda ,analinganisha ubunge na damu za watu

Damu ya Akwilina haita muacha salama
 
Kwa hiyo unafurahia ushindi au kuchelewa kwa kesi? Utamu ni upi, mashahidi kuwa wengi au nini?
 
Jamani tukanyage kwa adabu ardhi ya Muumba! Unaharibu mifumo ya nchi na umoja wa taifa kwa sababu za kijinga, hakika kujimwambafai ni upumbafu uliotopea.
 
Mbowe lazima afunge na roho yake mbaya yaani watu 200 wafe kwa ajiri ya Mbunge mmoja kushinda ,analinganisha ubunge na damu za watu

Damu ya Akwilina haita muacha salama
Nyie ndio mlistahili Rais awaite wapumbavu na sio wale watumishi wa umma !
 
Back
Top Bottom