Recent content by Ave Ave Maria

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

    kule instagram kuna mtu anaitwa kichwapanzi, anamshushuaje mange sasa! Halafu anaweka mpaka na evidence.......mwaka huu tutaona hata tusiyoyatarajia!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel na Ray wamerudi CCM

    ebu na waendege huko, sie ni mwendo mdundo na ukawa tu!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mke: Wolper niachie mume wangu

    Christian Bella nae ni marioo???
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mke: Wolper niachie mume wangu

    Namkubali sana wolper gambe a.k.a Jacqueline Wolper Lowassa!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

    Hakika hiyo pesa wahakikishe wanaitumia effectively maana ndo malipo ya movie zao mpaka na zijazo!
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

    si ni swali au? :bange:
  7. A

    JamiiForums Tanzania Alikiba umetuangusha watanzania

    Afadhali angetunza kura yake akaenda kumpa magufuli ila sio kwa kuwakampenia aiseee!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Alikiba umetuangusha watanzania

    Kwakweli vichambo vipokeeni tu maana hamna namna heheheeeeh! Mie nilikerekwa sana hata zile vote for kiba nimesitisha sasa hivi nina allergy na mapopoma yote yanayoishabikia CCM!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Hahahaaa masikini Dr Slaa hadi anatiliisha huruma. R.I.P babu teh! teh!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba na UKAWA

    Ni wapi nimesema nataka wote wawe Ukawa?! Mpuuzi mwenyewe
  11. A

    JamiiForums Tanzania Alikiba umetuangusha watanzania

    Nguvu ya hawa wasanii ni kubwa mno tuacheni utani. Inaudhi mtu kila siku unahangaika kuikampenia Ukawa alafu linakuja jitu moja linapost linawazoa hadi wale ulokuwa ushawashawishi!!! No no not rait! Ally umejua kuniudhi wallah!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Alikiba umetuangusha watanzania

    Yaani nimekerekwaaaaaa pambafffff na nusu! Hivi Kiba huoni kama wewe ni influential person??!!! Hivi ungepiga kimya kwani tungekuja kukuchungulia kuwa unampigia magufuli???!!! Hivi ni nini lakini nyie wasanii kuturudisha nyuma???!!! Si mhifadhi kura zenu jamani mtazipeleka wenyewe kwenye...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Najua wajua kuwa Dr. Slaa hawezi kuja CCM!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Hata ahame nani aende wapi......kura ni kwa UKAWA tu! Tushachoka na miCCM vile
Back
Top Bottom