Mke: Wolper niachie mume wangu

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
53,707
2,000
Sasa mbona anashambuliwa Wolper tu,

Na hiyo midume inayomshambulia mtoto wa mwenzao nao waache ujinga....Mzee Masawe hajasaa mtoto aje kugeuzwa jamfi...kumbafu sao.

Ye ndo star, aache mpepe afanye mambo yake kwa siri, sio kila mtu anafurahia ye akipata husband kipepeo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom