Watu hawa huwa wana pewa adhabu. Na Mungu kwakuwa kizazi huwa kinazaliwa kipya.
Na kikizaliwa kinashindwa kumueshimu Mungu.
Mungu anawaacha waende utumwa ni mpaka pale watakapo mkumbuka na kutubu anatafuta Mutu miongoni mwao mwenye kumheshimu awaongeze kutoka tena utumwa
Ni kweli inasadikiwa dunia ina MATAIFA fulani fulani kama unatambua tutajie na faida zake.
Mimi naanza na Israel. Ni taifa la kwanza kwa kuingiza pesa za kitalii duniani.
Na ni watu hatari ktk vita yoyote ile duniani. Na ni maarufu kwa ujenzi aina ya nyumba za Ikulu na majengo yao hudumu. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.