Natafuta soko la unga wa muhogo, nina tani mbili

audax Medard

Member
Mar 25, 2022
16
8
Jamani mimi ninafanya biashara ya unga wa muhogo kg 1 sh.800

Nafunga kg 50 sh. 39000

Natafuta soko

JPEG_20220326_175100_3112284571301796407.jpg
 
Zamani tulitumia Uji wa Muhogo kama Gundi la kugindishia Mifuko ya karatasi za Simenti
 
Tani Hamsini na hauna soko la uhakika??? una moyo mkuu sana, Mwenyezi akujaalieni wateja mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom