mimi huwa wananikata pesa yangu. nikiweka vocha 2, nakuta akuna kitu nikiwapigia wanasema niwapigie badae kwa kua hakuna kumbukumbu ya matumizi yangu. nahic ninalipa kwa styyle hii
Mimi ilikuwa 2014 Dar to Mbeya. Nilikuwa napiga kelele kuwa Ticket yangu Haina City No. kumbe unapewa City No. pindi napanda.
Nilipopanda nikawa nakenua meno kila mtu ananishangaa. Halafu nilikuwa na viroba vya konyagi.
Habari wana JF
Najitaji mtu anayeuza tshirt aina ya jezi ambazo ni original. Aniuzie kwa bei ya jumla, ama anielekeze duka linalouza kwa bei ya jumla.
Nakumbuka nikiwa Dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.
HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015
nakumbuka nikiwa dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.
swali ni kwamba najaribu kuinstall modem yangu inagoma inafika karibu na mwisho inagandaaa zen inalolling buck. sjajua tatizo nn pia ata ikiingia inshu inakuja network akuna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.