swali ni kwamba najaribu kuinstall modem yangu inagoma inafika karibu na mwisho inagandaaa zen inalolling buck. sjajua tatizo nn pia ata ikiingia inshu inakuja network akuna
Fanya tu hivi bwana
mdogo
.
Download huawei Dashbord hii apa
.
CUSTOMIZED
HUAWEI DASHBORD
.
Install hiyo modem yako hata isipofanya kazi
ila weka laini ndani
hakikisha ume close programs zote hata hiyo ya modem
.
Kisha fungua hako ka program uliko ka download hapo juu.....
Weka katika desktop yako then fungua na u click next kaache katamaliza
kila kitu kenyewe
.
WARNING
.
usichomoe modem yako bila hiyo program kukuambia successfully
SITAHUSIKA
.
.
Swali lolote nipo hapa
mkuu nami nina tatizo kama hilo la kuroll back kwenye modem ya vodafone zte k3570 msaada plz
.
Kaka we hakikisha ume install hiyo software iliyo ndani ya modem kwanza.....
.
Bila hivyo hako ka program hapo juu hakataweza ku find port ya modem yako....
.
Yani hizo modem dawa yake ni ku change dashboard as explained above
.
Kama hujaelewa uliza!!!