Nahitaji Tshirt za Jezi Original Kwa bei ya jumla

Nahitaji Tshirt za Jezi Original Kwa bei ya jumla

ATM ya JF

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
16
Reaction score
73
HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015
nakumbuka nikiwa dar nilikua nanunua elfu 8 kwa rejareja.
 
Sio original hizo,elfu 8!lol,
mi nauza elfu 70 moja
 
Back
Top Bottom