Unalijua hili la kodi ya laini ya simu..??

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
34,637
Reaction score
38,017
Hivi unafahamu kwamba ile kodi ya laini ya simu tunailipa kama kawa...??? Umeshajiuliza kwa nini muda wa kwenye vifurushi vya muda wa maongezi ulipunguzwa lakini kiasi cha fedha kikabaki kile kile...???

Ni kwamba serikali iliamua kinyemela kuongeza makusanyo toka kampuni za simu, nao wakaona kwa kurudisha hela hiyo ni kwenye vifurushi na huko hakuna atakayeshitukia kiurahisi. Na kwa sasa ukipiga simu off net wakati hujajiunga na kifurushi chochote rate ni kubwa ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo.

Tumeliwa kimtindo. Kodi ya laini ilikuwa inawagharimu baadhi ya watu kisiasa, hivyo wakaona waje kivingine. Na kweli wamekuja na wametufikia..
 
lete ushahidi tafadhali
Fanya utafiti mdogo tu kwenye trend ya matumizi yako na hivyo vifurushi before and after kodi hiyo kuanza kuzungumzwa... na vile vile tafiti makusanya to makampuni ya simu yalipanda lini from about 12% to 14%... Na uwaulize hao wapanga vifurushi... Ujiulize changes za vifurushi kwa Voda sababu hasa ilikuwa nini na waliporudisha vifurushi vya mwanzo, figures zilibaki zile zile...?

NA BAADA YA KUPATA MAJIBU AUA KAMA HUJAPATA JIULI WHY ALL THIESE CHANGES...???? Kwa nini wabadilibadili... Hivi unadhani kwa nini wanapobadili hawarudi kwenye figures za mwanzo...???
 
Hivi unafahamu kwamba ile kodi ya laini ya simu tunailipa kama kawa...??? Umeshajiuliza kwa nini muda wa kwenye vifurushi vya muda wa maongezi ulipunguzwa lakini kiasi cha fedha kikabaki kile kile...???

Ni kwamba serikali iliamua kinyemela kuongeza makusanyo toka kampuni za simu, nao wakaona kwa kurudisha hela hiyo ni kwenye vifurushi na huko hakuna atakayeshitukia kiurahisi. Na kwa sasa ukipiga simu off net wakati hujajiunga na kifurushi chochote rate ni kubwa ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo.

Tumeliwa kimtindo. Kodi ya laini ilikuwa inawagharimu baadhi ya watu kisiasa, hivyo wakaona waje kivingine. Na kweli wamekuja na wametufikia..

mkuu nilitaka kuanzisha mada hapa kuhusu hili. ila ni kweli Walienda wakakaa dodoma jumatano ya Dec 18, 2013. kikao kilikuwa cha masaa yasiyopungua matatu. baada ya mvutano wa huku na kule ikabid waongeze gharama kimyakimya ambapo hadi sasa zimeshaongezwa. mitandao ilituma wawakilishi ambao waliondoka hapa Dar kwa ndege ya kukodi mpaka dodoma na wakarud huku wakiwa wamefikia muafaka wa kuongeza kufikia 17% kutoka 12% iliyokuwepo awali.
Sitaki maswali zaidi ya nilichokieleza.
 
Kuna watu wanatakaga ushahidi wa maandishi wakati simu inamgharimu kuliko mwanzo na hata hajui kwa nini inamgharimu. Ushahidi wa gharama anao halafu anataka sisi tumpe ushaidi ambao anao

CC Wajad
 
mimi huwa wananikata pesa yangu. nikiweka vocha 2, nakuta akuna kitu nikiwapigia wanasema niwapigie badae kwa kua hakuna kumbukumbu ya matumizi yangu. nahic ninalipa kwa styyle hii
 
Back
Top Bottom