Recent content by Athumani Kambi

  1. Athumani Kambi

    DOKEZO Hili la maiti kulipishwa madeni Hospitali za Serikali limekaaje?

    Mi muhanga wa jambo ilo yamenikuta muhimbili ndugu yangu alilazwa jakaya kikwete siku kama 12 nililipa 2 million yani hapo nimepata na misamaha ustawi wa jamii wakati huo maiti ipo mochwali
  2. Athumani Kambi

    Orodha ya Mamilionea 10 wapya wanaotamba Tanzania

    Ni watanzania halisi wote wamezaliwa Tanzania kama wewe hakuna ata mmoja kati ya hao walitoka nje pamoja na wazazi wao pia labda mababu zao tena ata hao mababu wengi wao ni wazawa wenzetu wana umakini na pesa katika kutunza na kutumia ndio mafanikio yao hawana mambo mengi kama sisi tena hawana...
  3. Athumani Kambi

    Tamaa yangu imeniponza"

    Ndio ukome kuzoazoa ila bigup kwa maamuzi hyo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Athumani Kambi

    SPIKA NDUGAI: Hata mimi siwatambui akina Maalim Seif kwakuwa hata Msajili wa vyama hawawatambui

    Daaaah kuishi kwingi kuona mengi sawa twendeni tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Athumani Kambi

    Prof. Lipumba aongea na Wanahabri, amsihi Maalim Seif aje Wamalize tofauti zao

    Mbona we we utaki kwenda makao makuu ya chama kule Zanzibar unakaa buguruni wakati makao makuu yapo kule nenda Zanzibar ukafanye kazi kwani za chama zipo dar tu? Maalim sefu yupo makao makuu ya cuf basi mfuate huko sio kumuitia buguruni tu unatakiwa uende Zanzibar ukajenge chama kama kweli we...
  6. Athumani Kambi

    Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Bunge ndio kila kitu tatizo ndioooooo kwa kila jambo
  7. Athumani Kambi

    Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

    Daaaa dogo kachemsha
  8. Athumani Kambi

    Lipumba hachomoki kwa ushahidi huu; aliyepigwa ni mmoja wa walinzi aliopewa

    mbele ya mawe ata uwe nani utakaa chini chezea mawe na marungu
  9. Athumani Kambi

    Zitto Kabwe: Ukiona kifaranga kiko juu ya chungu, ujue chini yuko mama yake

    Acha ushabiki soma vizuri atua kwa atua kabla ujachangia jambo
  10. Athumani Kambi

    Nchi hii kweli ina wataalum wa sheria?

    Ngoja waje wanasheria tuone wanasemaje sisi tunajionea sawa tu
  11. Athumani Kambi

    Kama Rais Magufuli anamtumia Makonda kulipiza kisasi anakosea sana

    Tutafika tu kila jambo na mwisho wake
  12. Athumani Kambi

    Kwanini matajiri wa Yanga wamemsusia Manji hadi anateseka na kuaibika hivi?

    Naona kama mtoa Mada nae kandia kwa mbaliiii anaonekana maneno na vitendo tofauti kabisaaaaa
  13. Athumani Kambi

    Malipo ya King'amuzi cha DSTV na thamani ya shilingi ni changamoto

    Kifulushi cha bomba 19500 kinapatiaka DSTV au azam wanaoneha kupitia zbc2 game mwanzo mwisho kwa sh15000 tu kazi kwako mkuu
  14. Athumani Kambi

    MAGU, MWANZA: Wananchi walalamika njaa, Rais Magufuli awajibu "Mnataka nije niwapikie?"

    Hapa kazi tuu hakuna namna nyingine njaaaa nani kasema?
Back
Top Bottom