Mpira wa tanzania ni majanga tff wameshindwa kabisa kuipa support yanga kama fa zingine zinavyosaidia timu zao,ni bora kuwaingiza watu bure tutotelewe tucheze ligi yetu ya mizengwe!hatuwezi cheza kama tupo nje ya nchi,,tff ovyooo kabisa
Kiukweli mradi huu wa dart unachangamoto nyingi sana,mabasi adubuhi kuanzia kimara ni vurugu tupu,kituo kinajaa mpaka mwisho na gari zinakuja chache mno kiasi kwamba wizi na vitendo viovu vinachipuka kwa kasi,jioni inakua zamu ya kituo cha msimbazi yaani mabasi yanayotoka gerezani yakua yamejaa...
mkapa aliwaita watz malofa na wapumbavu..mwigulu akawaita nyumbu..leo membe kamalizia kuwa ni kenge..panya.na mbwa..sijui kama tume wapo hai..na tusubiri na kuona..ila its too much kwa mwanadiplomasia lama yy..anatishia watu kuwa mabadiliko maana yake ni vita..tuliongozwa na akili ndogo watu...
watu wanaushabiki wa kipuuzi sana..ktk bunge lolote duniani lenye mfumo wa vyama vingi uwaziri kivuli ni kanuni ya lazima..sasa pombe anaifuta vipi?na bunge likitaka kupata ripoti ya upinzani wanazipata wapi kama sio kwa hao mawaziri vivuli..achaeni ushabiki maandazi..kitu kama hujui kaa kimya...
mtoa mada umekurupuka ..ukawa sio chama..na ukumbuke msiba wa peter kisumo msafara wa lowassa ulizuiwa mwanga..je angeendaje
jana tumemuona maalim seif pale kwenye msiba wa mtikila..hoja yako ni nn?au ndio ukauzu wenyewe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.