Mechi ya keshokutwa mashabiki wote wanaruhusiwa kuingia uwanjani bila kiingilio

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Jun 2, 2016
654
1,143
Katika hali ya kushangaza na ile hali ya kuendelea kwa mivutano kati ya CAF, TFF, AZAM TV na YANGA kuendelea kukomoana.

katika taharifa iliopatikana kwenye page ya Facebook ya Naipenda YANGA imeandikwa hivi

"Mechi ya keshokutwa mashabiki wote wanaruhusiwa kuingia uwanjani bila ya kuingia gharama zozote kwa lugha nyingine itakuwa bure, lengo likiwa kuhakikisha wa TANZANIA wanapata nafasi ya kuishangilia timu yao ya Yanga SC."

tujadili kwa hoja ugomvi wa manji na bahkersa juu ya urushaji wa matangazo na haki ya matangazo
 
Mpira wa tanzania ni majanga tff wameshindwa kabisa kuipa support yanga kama fa zingine zinavyosaidia timu zao,ni bora kuwaingiza watu bure tutotelewe tucheze ligi yetu ya mizengwe!hatuwezi cheza kama tupo nje ya nchi,,tff ovyooo kabisa
 
Back
Top Bottom