Huyu ndiye Edward Lowassa

Tumekusikia but sorry the time now is almost time up!, anything you can try to do now won't change a thing!, in fact it is too little too late!, watu wa maamuzi waliisha amua siku nyingi hivyo hii kitu haisaidii kitu.
Pasco

ARUSHA WAMENENA! MAGUFULI RAISI ANAYESUBIRI KUAPISHWA ....MONDULI WAMRUDISHA SOKOINE MMSAI WA UKWELI.... HADI SASA KM 21000 wanakoishi binadamu zimefikiwa...majimbo 228 yamewekwa kwapani.... huko hakuna jamii forum wala facebook....... TINGA TINGA Endelea kutupa raha!
 
Hivyo vyote navijua ndio maana nimeamua kwamba nitampigia kura yeye ili awe rais wangu!
Hutaki kale malimao!
 
Ahsante kwa kumpaka marashi ukidhani umempaka matope.Amewashika na mmeshikika sawa sawa!
 
1. Mtumiaji vibaya madaraka ya Umma:
Ametumia vibaya madaraka yake kwa nyakati tofauti kuhujumu uchumi wa nchi. Mikataba ya Richmond, akiwa mkurugenzi wa kituo cha kimataifa cha mikutano , Arusha(AICC) , akiwa Waziri wa Maji na Mifugo alitumia vibaya madaraka yake vibaya na na kujimbikizia mali na kuliingiza taifa katika hasara kubwa;
2. Ni mwenye Dharau, kiburi na majivuno kutokana na ama silka yake au utajiri wake na hivyo kutaka KUNYENYEKEWA MUDA WOTE
Baadhi ya haya Maneno yake ni ushuhuda wa sifa hizo:
" Hakuna wa kunikata, asiyenipenda ndiye ahame CCM"
" Sina rafiki CCM, NMELOCK AKITAKA ANIFUATE"
NI mtu wa kununua watu, ni hatari sana kwani ukinunuliwa huwezi kuhoji lolote atakaloamua:
Hawa ni baadhi ya aliowanunua. Wamenunuliwa kwa sababu historia ya walioyasema juu yake kama hajahamia CHADEMA inawahukumu
Freema Aikael Mbowe
James Mbatia
Juma Duni Haji
Fredrick Tluwaye Sumaye
Tundu Lissu
Peter Msigwa
John Mnyika
Godbless Lema
4. Ni mtu aliyeshindwa siku zote:
Ameshindwa kupata nafasi ya kugombea urais kupitia CCM, 1995 na 2015. Kingunge anasema mwaka 2015 ameonewa kwa vile Baba wa taifa hakuwepo, lakini kwa vile 1995, Baba wa Taifa ndiye aliongoza kumkataa, hakuonewa
Mwaka 2008 alishindwa kuongoza ofisi wa Waziri ya Waziri Mkuu na kupelekea kujiuzulu
Katika ujanja ujanja wake wa kutaka kwenda ikulu ameshindwa kuwanunua wafuatao:
Joseph Msukuma
Hussein Bashe
Wilbrod Slaa
Prof. Ibrahim Harouna Lipumba
Namelock Sokoine
Peter Serukamba
Sofia Simba
Emmanuel Nchimbi

25/10/2015 pia atashindwa

Ni Mtu mzurumaji na mbinafsi
Amezurumu mradi wa maji wa Arumeru Mashariki- rejea hotuba ya Dr. Slaa kule arumeru
Amezurumu Ranchi za mifugo kule monduli na kuzifanya kuwa mali za familia yake- rejea maneno ya aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Monduli jana wakati anarejea CCM kwenye kampeni zilizofanyika Jijini arusha jana.
Alishinikiza kupewa tsh. Mil. 170 kama mfuko wa jimbo badala ya mil.40

Kati ya Watanzania zaidi ya mil. 45 nitakuwa wa mwisho kutekwa kifikra na kumwamini LOWASSA.

Naomba unieleze mambo manne ambayo yatanifanya niichague CCM.
 
ok tumekusikia..tupe na mema ya hao malaika wako waliobaki ccm..na epa..escrow..mabehewa..tanesco..hela za marekebisho ya katiba..nk..hebu tiririka maana we fundi sana
 
Tumekusikia but sorry the time now is almost time up!, anything you can try to do now won't change a thing!, in fact it is too little too late!, watu wa maamuzi waliisha amua siku nyingi hivyo hii kitu haisaidii kitu.
Pasco
itasaidia tu hyo wew subir hyo 25 ndo utajua kumbe ile kitu ilisadia
 
Alipokuwa ccm hamkuyaona hayo mkaendelea kumpa nyadhifa katika vitengo nyeti!mtaisoma namba mwaka huu.
 
1. Mtumiaji vibaya madaraka ya Umma:
Ametumia vibaya madaraka yake kwa nyakati tofauti kuhujumu uchumi wa nchi. Mikataba ya Richmond, akiwa mkurugenzi wa kituo cha kimataifa cha mikutano , Arusha(AICC) , akiwa Waziri wa Maji na Mifugo alitumia vibaya madaraka yake vibaya na na kujimbikizia mali na kuliingiza taifa katika hasara kubwa;
2. Ni mwenye Dharau, kiburi na majivuno kutokana na ama silka yake au utajiri wake na hivyo kutaka KUNYENYEKEWA MUDA WOTE
Baadhi ya haya Maneno yake ni ushuhuda wa sifa hizo:
" Hakuna wa kunikata, asiyenipenda ndiye ahame CCM"
" Sina rafiki CCM, NMELOCK AKITAKA ANIFUATE"
NI mtu wa kununua watu, ni hatari sana kwani ukinunuliwa huwezi kuhoji lolote atakaloamua:
Hawa ni baadhi ya aliowanunua. Wamenunuliwa kwa sababu historia ya walioyasema juu yake kama hajahamia CHADEMA inawahukumu
Freema Aikael Mbowe
James Mbatia
Juma Duni Haji
Fredrick Tluwaye Sumaye
Tundu Lissu
Peter Msigwa
John Mnyika
Godbless Lema
4. Ni mtu aliyeshindwa siku zote:
Ameshindwa kupata nafasi ya kugombea urais kupitia CCM, 1995 na 2015. Kingunge anasema mwaka 2015 ameonewa kwa vile Baba wa taifa hakuwepo, lakini kwa vile 1995, Baba wa Taifa ndiye aliongoza kumkataa, hakuonewa
Mwaka 2008 alishindwa kuongoza ofisi wa Waziri ya Waziri Mkuu na kupelekea kujiuzulu
Katika ujanja ujanja wake wa kutaka kwenda ikulu ameshindwa kuwanunua wafuatao:
Joseph Msukuma
Hussein Bashe
Wilbrod Slaa
Prof. Ibrahim Harouna Lipumba
Namelock Sokoine
Peter Serukamba
Sofia Simba
Emmanuel Nchimbi

25/10/2015 pia atashindwa

Ni Mtu mzurumaji na mbinafsi
Amezurumu mradi wa maji wa Arumeru Mashariki- rejea hotuba ya Dr. Slaa kule arumeru
Amezurumu Ranchi za mifugo kule monduli na kuzifanya kuwa mali za familia yake- rejea maneno ya aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Monduli jana wakati anarejea CCM kwenye kampeni zilizofanyika Jijini arusha jana.
Alishinikiza kupewa tsh. Mil. 170 kama mfuko wa jimbo badala ya mil.40

Kati ya Watanzania zaidi ya mil. 45 nitakuwa wa mwisho kutekwa kifikra na kumwamini LOWASSA.

Umejitahidi kutudanganya ila hatudanganyiki ngooooooooo kura kwa LOWASA
 
Tumesikia Lowassa kweli ni mtu hatari sana,lakini ingekuwa vyema utuwekee ufisadi wa Riziwani Kikwete pia, huyu dogo akifikia umri wa Lowassa atakuwa mtu hatari kuliko.
 
1. Mtumiaji vibaya madaraka ya Umma:
Ametumia vibaya madaraka yake kwa nyakati tofauti kuhujumu uchumi wa nchi. Mikataba ya Richmond, akiwa mkurugenzi wa kituo cha kimataifa cha mikutano , Arusha(AICC) , akiwa Waziri wa Maji na Mifugo alitumia vibaya madaraka yake vibaya na na kujimbikizia mali na kuliingiza taifa katika hasara kubwa;
2. Ni mwenye Dharau, kiburi na majivuno kutokana na ama silka yake au utajiri wake na hivyo kutaka KUNYENYEKEWA MUDA WOTE
Baadhi ya haya Maneno yake ni ushuhuda wa sifa hizo:
" Hakuna wa kunikata, asiyenipenda ndiye ahame CCM"
" Sina rafiki CCM, NMELOCK AKITAKA ANIFUATE"
NI mtu wa kununua watu, ni hatari sana kwani ukinunuliwa huwezi kuhoji lolote atakaloamua:
Hawa ni baadhi ya aliowanunua. Wamenunuliwa kwa sababu historia ya walioyasema juu yake kama hajahamia CHADEMA inawahukumu
Freema Aikael Mbowe
James Mbatia
Juma Duni Haji
Fredrick Tluwaye Sumaye
Tundu Lissu
Peter Msigwa
John Mnyika
Godbless Lema
4. Ni mtu aliyeshindwa siku zote:
Ameshindwa kupata nafasi ya kugombea urais kupitia CCM, 1995 na 2015. Kingunge anasema mwaka 2015 ameonewa kwa vile Baba wa taifa hakuwepo, lakini kwa vile 1995, Baba wa Taifa ndiye aliongoza kumkataa, hakuonewa
Mwaka 2008 alishindwa kuongoza ofisi wa Waziri ya Waziri Mkuu na kupelekea kujiuzulu
Katika ujanja ujanja wake wa kutaka kwenda ikulu ameshindwa kuwanunua wafuatao:
Joseph Msukuma
Hussein Bashe
Wilbrod Slaa
Prof. Ibrahim Harouna Lipumba
Namelock Sokoine
Peter Serukamba
Sofia Simba
Emmanuel Nchimbi

25/10/2015 pia atashindwa

Ni Mtu mzurumaji na mbinafsi
Amezurumu mradi wa maji wa Arumeru Mashariki- rejea hotuba ya Dr. Slaa kule arumeru
Amezurumu Ranchi za mifugo kule monduli na kuzifanya kuwa mali za familia yake- rejea maneno ya aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Monduli jana wakati anarejea CCM kwenye kampeni zilizofanyika Jijini arusha jana.
Alishinikiza kupewa tsh. Mil. 170 kama mfuko wa jimbo badala ya mil.40

Kati ya Watanzania zaidi ya mil. 45 nitakuwa wa mwisho kutekwa kifikra na kumwamini LOWASSA.

Hamna shida,sisi tunamtaka huyo huyo,na hatutaki mwingine.hayo hayo yote kama aliyafanya,ni mawazo yako na genge lako. Tunavyoamua,tumeamua kumchagua LOWASA. Heri huyu LOWASA wetu MMOJA kuliko genge aliowaacha huko kwenu. Tatizo nyinyi sio waelewa ni wabishi sana,hamtaki kukubali Ukweli. Kwenu ndo wapo hao jamaa.LOWASA yupo huku kwetu,atafuata maono,malengo ya wanaukawa. Mungu akubariki ibariki Tanzania.
 
LOWASSA alipo tupo!

Mpango wa MUNGU hauzimwi, tunamwombea aingie IKULU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom