Recent content by Athman Profesa

  1. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua maswali ya oral ya PCCB-2022 msaada

    Upo tarehe ngap mkuu
  2. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana. [emoji1666][emoji1666]
  3. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jaman naomba mnisaidie jina la wasanii walio imba wimbo huu, na jina la wimbo pia ikiwezekana. Ili niweze kuutafuta. " nikikupa kupa kuupa utalewaa aah, nanikikunyiima dhuruma ×2. Nishachoka mie, usichokoo ×3 "
  4. Athman Profesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

    Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa. Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine...
  5. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie Toyota Voxy kali kutoka Japan

    Toyota voxy, used from japan. Engine 1980cc, mileage 12690km. Unapewa Warranty na offer ya kufanyiwa usajili. Hyo na nyingine nyingi utazipata kutoka kwetu kampun kubwa ya kuaminika. CARHUNT JAPAN LIMITED. 0713078466
  6. Athman Profesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti miaka 18-24 wa kuoa anahitajika.

    Ndio anaweza akawa na mahusiano lakin akawa anachezewa tu so anaweza kuamua kumtafuta jamaa hapo ambae ni muoaji.
  7. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

    Lakin pia wamesha clarify hapo kwamba hiyo penalty ya 10% ya kuchelewa kulipa after 24 months ni one time payment sio kwamba eti itazidshwa kwa idadi ya miaka ulichelewa kulipa hapana.
  8. Athman Profesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Dah kiukweli wee jamaa unaongea point tupu. Yaan mpaka unaanza kunishawishi kumuoa bikra wangu nlie mzalisha na nipo nae kwenye mahusiano na anataka leo kesho nimuoe sema mimi ninadanganyika na hawa watoto warembo wamejazia lakin sio mabikra. Kitu ambacho kina nichelewesha kumuoa nilo mtoa bikra...
  9. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya photoshoot hapa Dar

    Habarin za sahiz jaman kuna ka birthday ka mtoto hiv karibuni. Nilikuwa naomba kuelekezwa kwa hapa Dar, studio inayofanya photoshoot na kuandaa background kama mfano wa picha niliyo attach hapa. Ntashukuru kwa ushirikiano wako.
  10. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa sehemu wanapofanya photoshoot hapa Dar

    Habarin za sahiz jaman kuna ka birthday ka mtoto hiv karibuni. Nilikuwa naomba kuelekezwa kwa hapa Dar, studio inayofanya photoshoot na kuandaa background kama mfano wa picha niliyo attach hapa. Ntashukuru kwa ushirikiano wako.
  11. Athman Profesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unahisi una kibamia?

    Kwan hivyo vipimo huaga ikishasimama au imelala?? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ujuzi katika biashara ya mobile money transfer

    Dah kama alivyosema jamaa hapo juu wa ajiri wapo. Sema mi nnaweza nkasema kumfundisha mtu kaz ya uwakala mpaka akawa konki plus techniques za kuepuka matapeli ni kaz ngum saana kufundsha. Mfano mimi huaga nnajitolea tu kufanya hivyo kwa mfanyakaz ambae nnajua ntakua nae kwa mda mrefu. Part...
  13. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ooh thanks sana. Ndo huo huo yan. Nliangaikaga saana bla mafanikio. [emoji120][emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jaman please naomba mnisaidie kuna nyimbo nnaipendaga sana lakin simjui msanii wala jina la nyimbo kwahyo nnashindwa kuupata youtube. Ila nnaujua baadhi ya vionjo vyake. "... Oe oe oeoo, oe oe oaa..." ×2 Anaimba hivyo ni saut ya kike. Anaeujua please[emoji120][emoji120][emoji120] Sent using...
  15. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Je, kutoa huduma za kifedha kwa njia ya simu kunahitaji Leseni?

    Hilo duka lake lote la biashara ukiunganisha na huduma za pesa anatakiwa awe leseni moja tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom